Driver update for my Laptop

General Nguli

JF-Expert Member
Apr 22, 2022
1,116
2,285
Kuna site nimeingia ikiwa na matangazo ya kujinasibu kuwa tuna update free driver to your Laptop.Nikaona acha nifaidike na huduma ya bure.Baada ya kudawnload na kufanya installation na kuelekea kwenye huduma,kweli software iliweza ku scan my laptop na kudetect a various driver is outdated include motherboard audio and etc.
Baada yakuendelea kwenye huduma zao nakutana na kujaza baadhi ya particula kama bank Acc na majina na hata Email as usual.

  1. 1.Sasa changamoto yangu nimegundua kuna driver is out of time kipi nifanye kupitia hili jukwaa.
  2. 2.Kwenye kujaza detail za acc kwenye mtandao sio kama hatari katika biashara zangu.
Asanteni nawasilisha.
 
Hizo drivers updater unazokutana nazo kwenye ads ni biashara za watu.

Update drivers zako kupitia official site ya manufacture
 
Hiyo ni SCAM mzee umeshaingia line hapo.

Komputer za sasa na OS angalau Windows 10 hauhitaji karatee zozote kupata drivers kwa asilimia 99% windows yenyewe inajua unahitaji drivers gani na inadownload yenyewe kama kuna haja, so achana kabisa na hizo downloads. Kama kuna issue yoyote ya driver kweli nenda kwenye site ya mtengeneza komputer Dell/HP/etc na download huko au site ya mtengeneza hiyo hardware.
 
Back
Top Bottom