neyl Senior Member Nov 23, 2011 127 19 Dec 7, 2011 #1 mornie! jaman mwenye updates khs intavyu zlizofanywa TRA
B Baraka Mnyone Member Nov 22, 2011 12 0 Dec 7, 2011 #2 kaka kwa kawaida tra wanachelewa kidogo kuita watu kazini kwa hiyo kuwa mpole mambo bado.
evelyne Member Nov 30, 2010 27 7 Dec 7, 2011 #3 dah bora umeuliza...............coz me nilishakata tamaa naomba pia niulize kwani wanahitaji watu wangapi maana lile kundi duh !!!
dah bora umeuliza...............coz me nilishakata tamaa naomba pia niulize kwani wanahitaji watu wangapi maana lile kundi duh !!!
neyl Senior Member Nov 23, 2011 127 19 Dec 7, 2011 Thread starter #5 Jumanho said: Mi nimeshaanza kazi TRA tangu trh 1 dec Click to expand... we unafanya post gan? me niliaply preventive assistant vp washaanza
Jumanho said: Mi nimeshaanza kazi TRA tangu trh 1 dec Click to expand... we unafanya post gan? me niliaply preventive assistant vp washaanza
S sirmudy JF-Expert Member May 12, 2010 386 119 Dec 8, 2011 #6 Jumanho said: Mi nimeshaanza kazi TRA tangu trh 1 dec Click to expand... labda uko field..., lkn nasikia jamaa wataitwa baada ya miezi sita....., sio jokes ni reliable info
Jumanho said: Mi nimeshaanza kazi TRA tangu trh 1 dec Click to expand... labda uko field..., lkn nasikia jamaa wataitwa baada ya miezi sita....., sio jokes ni reliable info
M mswazi Member Nov 18, 2007 25 2 Dec 10, 2011 #9 Basic salary laki 8, safari hakuna, nendeni mkale rushwa ili muishi.
M mswazi Member Nov 18, 2007 25 2 Dec 10, 2011 #10 Basic salary laki 8, safari hakuna, nendeni mkale rushwa ili muishi.mshkaji wangu ametema nafasi za it baada ya kusikia hiyo salary
Basic salary laki 8, safari hakuna, nendeni mkale rushwa ili muishi.mshkaji wangu ametema nafasi za it baada ya kusikia hiyo salary
T TONGINDI Senior Member Nov 23, 2011 174 32 Dec 10, 2011 #11 weee acha masihala mshahara laki 8, una ushaidi? au inaleta mambo ya ccm?
neyl Senior Member Nov 23, 2011 127 19 Dec 10, 2011 Thread starter #12 jaman iv swala ni mshahara au matokeo watu wameitwa tayari kuanza job au bado?
SUPERUSER JF-Expert Member Jun 11, 2011 960 304 Dec 12, 2011 #13 i think laki 8 kwa kuanzia sio mbaya esp in a govt office