TPA yaruhusu rasmi magari kuhifadhiwa kwenye bandari kavu (ICDV) kupunguza msongamano

Offshore Seamen

JF-Expert Member
Mar 9, 2018
5,013
12,731
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imeruhusu rasmi kuanzia tarehe 24 October 2022, magari kupelekwa kwenye bandari kavu za nje za kuhifadhia magari kwa ajili ya kupunguza msongamano wa magari ndani ya bandari ili kuongeza ufanisi.

Chini ni tangazo rasmi kutoka website ya bandari na gazeti ya Daily News 28/10/2022.

Screenshot_20221031-001205_Chrome.jpg
20221028_093426.jpg


Mteja hatousika kwenye gharama za uhamishaji, gharama zitabaki kama awali.

Hii itapelekea kuzalisha nafasi za muda kwa madereva watakaokuwa wakihamisha magari kutoka bandarini kwenda Bandari kavu.
 
Back
Top Bottom