Toyota Starlet!!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,893
Wakuu naomba munijuze taarifa za hii gari uimara,ustahimilifu wa safari ndefu,fuel consumption yaani kifupi taarifa zote uzuri na ubaya wake tafadhalini.

Kuna jama anataka kunihamishia umiliki wa hiyo gari!!
Asanteni
 
Mkuu hako kagari ni roho ya paka...spea ziko availabo na kwa bei rahisi. Kwenye mafuta ...dah...mi ka kwangu kanapiga km 13 kwa lita....ofkoz kwakuwa kameshachoka. Nlisha draivu toka Dar mpaka Arusha na kurudi hakuna aliyeamini. Kifupi ni kagari kazuri kwa safari za mjini
 
Ni Gari nzuri sana hiyo ukianzia consuption yake ya fuel ni nzuri almost 17km per litre. also spares zipo nyingi sana cha msingi tu ufuate services. Inadumu sana ni roho ya paka.

Usikiache kichukue ahali yangu
 
Mi nadhani among hivi vigari vidogo hako ndio the best. CC 1330 4cylinder. Kana nguvu but fuel efficient. Km 18 kwa lita. Kama kana hali nzuri we kachukue..
 
Ni gari zuri. Wala usijali kuliendesha iwapo wenzako wanayo magari 'makali'. Full tenki ni wiki nzima hata kama unaishi Mbezi Beach na kufanya kazi Kariakoo. Ila nunua EP 91 ndiyo latest.
 
Ka-gari kazuri mkuu, kwanza kana speed nzuri tu kama ukipata kenye Turbo charge, na ishu ya wese inategemea unaendesha wapi; kama ni mjini basi average ya ulaji ni Lita 7.4 kwa kila Kilometa 100, na kama unasafiri nje ya mji basi ulaji ni Lita 6.5 kwa kila Kilometa 100.

Kumbuka haya yote pia yatategemeana na hali ya uzima wa gari/engine yenyewe unayotaka kununua...

Good luck..
 
Mi nadhani among hivi vigari vidogo hako ndio the best. CC 1330 4cylinder. Kana nguvu but fuel efficient. Km 18 kwa lita. Kama kana hali nzuri we kachukue..

mkuu haka ka gari kalikuwa kanaendeshwa mdada mmoja hivi kwa sasa baada ya kuolewa anataka kunimiliksha ili anunue RAV4 na hakajawai kutembea km 200 kwa mkupua ni home na kazini tu hakajawahi kupigwa na ajali na kwa sasa kana km laki moja hivi toka amekanunua na ana mwaka mmoja nako na ameniambia below 5.0m haitoi je ni sawa?nishaurini tafadhali
 
Ka-gari kazuri mkuu, kwanza kana speed nzuri tu kama ukipata kenye Turbo charge, na ishu ya wese inategemea unaendesha wapi; kama ni mjini basi average ya ulaji ni Lita 7.4 kwa kila Kilometa 100, na kama unasafiri nje ya mji basi ulaji ni Lita 6.5 kwa kila Kilometa 100.

Kumbuka haya yote pia yatategemeana na hali ya uzima wa gari/engine yenyewe unayotaka kununua...

Good luck..

mkuu haka hakana turbo
 
mkuu haka ka gari kalikuwa kanaendeshwa mdada mmoja hivi kwa sasa baada ya kuolewa anataka kunimiliksha ili anunue RAV4 na hakajawai kutembea km 200 kwa mkupua ni home na kazini tu hakajawahi kupigwa na ajali na kwa sasa kana km laki moja hivi toka amekanunua na ana mwaka mmoja nako na ameniambia below 5.0m haitoi je ni sawa?nishaurini tafadhali

Ni sawa kabisa hiyo bei. thats a fair price. Ichukue
 
Ukipiga garama ya kuagiza hiyo gari kutoka japan, uweke na gharama za ushuru bandarini, ujumlishe na dumping fee (maana vyote ni vya 1999), na muda wa kusubiri, usumbufu, hongo, vitu vitakavyoibiwa bandarini.. nk.. utajikuta unaingia garama kubwa zaidi ya hiyo.
 
Consumption ya mafuta ni ndogo lakini what about durability? Nadhani starlet sio durable. Kwani huna fundi unayemjua akaliangalie na kulitathmini? Yeye ndio akwambie kama uchukue au la! Kama unataka gari imara nisingekushauri uchukue. Unajua vitu vya bei rahisi wakati mwingine ni gharama.
 
Back
Top Bottom