Toyota rav 4 for sale

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,061
281
1999model manual transmission grey 5 doors in very good condition
Terms and conditions for sale is negotiable.
Intersted buyers should contact this number 0717114409
 

Attachments

  • PIC01390.JPG
    PIC01390.JPG
    36.3 KB · Views: 72
  • PIC01391.JPG
    PIC01391.JPG
    34.7 KB · Views: 65
  • PIC01392.JPG
    PIC01392.JPG
    42.4 KB · Views: 67
  • PIC01393.JPG
    PIC01393.JPG
    39 KB · Views: 69
  • PIC01394.JPG
    PIC01394.JPG
    55.1 KB · Views: 67
Kitomai bwana! Kwani kuweka beiya kuanzia hapo inaku-cost nini?

Haya mimi naitaka kwa 3,500,000 maongezi yapo.
 
lol

watu mnapenda utani sana ...


Haya mimi 8.5m mwisho ... ntatafuta pa kukopa hiyo 5m ...

Kitomai gari bado ipo?
 
Nipo sasa hivi natoa 7m lakini sio kwa maongezi......Then mkubwa kitomai naomba tuwasiliane kama unayo pia rav 4 ya milango 2 naomba nipe maelezo kwa PM ni kiasi gani huwa zinacost!!
 
Kwanini watu wanaweka tangazo la kuuza kitu, halafu bei hawaweki?

Haya mambo ya kubagain yametuingia akilini sana watanzania! Inakuwa ni kama zile biashara za kariakoo - "bei ni sh 10,000 pungufu unaongea".

Kwanini tusibadilike? Hapa ni online, put a fixed price. Ukifanya biashara, lazima uwe na msimamo na bei. Kama kuna mtu ana pungufu, atakuambia
 
mkubwa ingekuwa AT sasa nigempa mteja namba yako akutwangie kisha mtaelewana wenyewe. vp jamaa yako msukuma amezingua au alikuwa na pesa za majini?haha
 
Mimi nipo serious nitatoa mil. 9.6 kama unakubaliana na hiyo bei tuwasiliane email em@edlub.com

Hivi kweli viroja.....muuzajia anasema bei yake ni 8.5 mil, halafu mnunuzi anasema atatoa 9.6 mil.! Ni macho yangu tu au ndio kitu halisi......? However, there is a French proverb which says 'There are more fools among buyers than among sellers'
 
woti about 6.1m ninazo keshi kama inalipa tuchonge dili au vp?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom