Toyota rav 4 for sale

may be 8.5mil

Kitomai,

Changamkia issue hiyo, mwenzio hataki kwa 8.5 anataka umpe kwa 9.6!

Hivi kweli viroja.....muuzajia anasema bei yake ni 8.5 mil, halafu mnunuzi anasema atatoa 9.6 mil.! Ni macho yangu tu au ndio kitu halisi......? However, there is a French proverb which says 'There are more fools among buyers than among sellers'

Mkuu kuna watu wa ajabu sana aisee......! ila hii huwa ipo sana kwa watani zangu wamatengo, yaani wakisha uza tumbaku yao, wanataka kununua vitu vinavyouzwa ghali hata kama wanajua sehemu fulani the same thing ni cheap!

Kitomai nitafute nipo tayari kutoa 9.6 mil.

Wewe acha ushamba ndugu....price umeambiwa ni 8.5m we kihele hele cha nini sasa?....changia JF hiyo inayozidi bana.....!
 
Kitomai nitafute nipo tayari kutoa 9.6 mil.

Kitomai kamata hii 9.6 mil ya huyu pimbi halafu difference ya BEI upatue uongozi wa JF itasaidia katika maswala ya maintanance e.t.c.

Wahaya bwana....wakifika bar utasikia i need a most expensive whisky...hata kama grants ndiyo itakayokuwa inaongoza kwa bei.
 
Mwe kitomai nitafutie kama hi baada ya mwezi nikupe 8.5 napenda sana manual na kwa rav 4 ntaona nimepata VX masikini mimi nini hukusubili haua wiki mbili
 
Mkuu kuna watu wa ajabu sana aisee......! ila hii huwa ipo sana kwa watani zangu wamatengo, yaani wakisha uza tumbaku yao, wanataka kununua vitu vinavyouzwa ghali hata kama wanajua sehemu fulani the same thing ni cheap!
Mkuu, cheki facts zako, wamatengo hawalimi tumbaku, bali kahawa. Pili, uwe na adabu kwa watani zako, ndio wanawapa vibarua wakinga, wapangwa, wabena.
 
Digital video camera (handycam,camcoder) inauzwa .
Ni mpya ya sony , latest model dsr-sr45
features:internal hard disk 30gb.inarekodi hadi masaa 30,touch screen,portable,documents,manual book,accessories,carry bag na software cd’s zake zote zipo.
Bei:inaanzia laki 8 (tsh.800,000/=),but inaweza kupungua.
Piga namba: 0715 303320.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom