Toyota noah 2002 inauzwa

Wakuu Tazama picha uzuri kisha u comment inaelekea watu hawana magari au hawazijui Noah hizi wana wanadhania ni zile ndogo hii kama unataka kubeba abiria ni 14 na zile za mwaka 2001 kurudi nyuma ni nane tu sasa nitofauti. Hata Ukubwa si sawa hii ya mwaka huu 2002 Viti vyake vinaweza kubadilishwa mara nne 1-kiwe kitanda, 2-pawe sebule na meza,3- pawe uwanja wa kuchezea watoto na 4-pawe sehemu ya kubadilishana mawazo wote kuangalia mbele. haya sasa semeni hapo.
 
Mheshimiwa!! Watu wanajua magari ndio maana wamekaa kimya!!!
 
[COLOR=black said:
Original Pastor[/COLOR];1813686]Wakuu vipi au humu ndani watu tunauza sura tu. Yaani hakuna mwenye kuhitaji hiii?????????

Pastor na maneno ya Dhihaka!
Kwa hiyo kama we unauza gari, wenzio ndo umewaona wauza sura?
haya bana ubarikiwe sana!
 
Wakuu Tazama picha uzuri kisha u comment inaelekea watu hawana magari au hawazijui Noah hizi wana wanadhania ni zile ndogo hii kama unataka kubeba abiria ni 14 na zile za mwaka 2001 kurudi nyuma ni nane tu sasa nitofauti. Hata Ukubwa si sawa hii ya mwaka huu 2002 Viti vyake vinaweza kubadilishwa mara nne 1-kiwe kitanda, 2-pawe sebule na meza,3- pawe uwanja wa kuchezea watoto na 4-pawe sehemu ya kubadilishana mawazo wote kuangalia mbele. haya sasa semeni hapo.
Kwakweli hilo gari halifai. Kama unaweza kugeuza ikawa sehem ya kuchezea watoto! What about safety issues? Au wanafungwa na mikanda na wanakalia viti vyao huku wanacheza??? Pls!!
OP ukweli hiyo bei yako ni kubwa na si kama unavyosingizia watu hawajui magari ila hawataki kukuvurugia biashara. Maana hawakawii kukushushia link yenye bei nafuu kuliko ya kwako. Ni vyema uweke tangazo halafu kejeli uweke kando.
 
Wakuu nimeona Madharau humu ndani kibao kumbe wote tunalingana tu uwezo anayetoa Comment hana na wala afikiriii kununua gari basi taaabu kweli kweli. Msijali nimepata Mteja sasa sio kupitia hapa nilipeleka Yard na sasa Imenunuliwa kwa bei ya dola USD 13000. sawa na TSHS 19,500,000 kwa rate ya USD moja = TSHS 1500/= Asanteni kwa michango yenu ya kuvunja moyo na mingine ya kufurahisha ila TUBADILIKE TUWE SIRIASI HUMU WAKUU HATUKUJA KUUZA SURA BONGO.
 
Ni 82,000km pastor hiyo ni typing error tu! Bwana Asifiwe!!!!
 
hawezi kupata mteja kwa bei hiyo. hizo gari ni 12M iliyotumika nje sasa hii imetumika na Tz pia. anyway biashara matangazo.
 
Hiyo nyekundu muogope mungu nani kakwambia imetumika Tanzania??? Gari nimeitoa Bandari na sasa nimeiweka sipo Tanzania au ni wewe umetumia? Na Magari yote hapa Tanzania yananunuliwa Mapya??? au USED kutoka JAPAN jibu swali acha porojo huna hela huna alaa
 
Wakuu nimeona Madharau humu ndani kibao kumbe wote tunalingana tu uwezo anayetoa Comment hana na wala afikiriii kununua gari basi taaabu kweli kweli. Msijali nimepata Mteja sasa sio kupitia hapa nilipeleka Yard na sasa Imenunuliwa kwa bei ya dola USD 13000. sawa na TSHS 19,500,000 kwa rate ya USD moja = TSHS 1500/= Asanteni kwa michango yenu ya kuvunja moyo na mingine ya kufurahisha ila TUBADILIKE TUWE SIRIASI HUMU WAKUU HATUKUJA KUUZA SURA BONGO.
Rudieni kusoma kwa sauti haya mamneno yenye Blue
 
kafanye daladala bana!!! We c una hela!!!! hatutaki dharau hapa!!!!
 
Kamanda Nina million 11 cash
My contact is
you can email
richardnguma@gmail.com
or usa@privatesafariclub.com
Text +1501 5451182
I hope to hear from u soon
Richard
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom