Toyota Mark II GX110 of 2002 for sale.

SUNGUSIA

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
232
16
IMG-20110810-00214.jpg View attachment 35115 IMG-20110810-00208.jpg IMG-20110805-00180.jpg Edited 02.jpg View attachment 35354 IMG-20110810-00207.jpg

Bei ni million 12.5 Tanzania shillings bila kupungua hata shilingi, Dalali hatakiwi kabisa.

imesajiliwa bongo na imetumika number ni BLJ.

kwa mawasiliano zaidi ni PM au andika barua pepe brayanmawela@gmail.com.
 
Attachments

  • IMG-20110810-00210.jpg
    IMG-20110810-00210.jpg
    243 KB · Views: 307
  • IMG-20110810-00203.jpg
    IMG-20110810-00203.jpg
    379.1 KB · Views: 171
View attachment 35108View attachment 35109View attachment 35113View attachment 35114View attachment 35115View attachment 35116View attachment 35117View attachment 35118View attachment 35119View attachment 35120View attachment 35112

Bei ni million 12.5 Tanzania shillings bila kupungua hata shilingi, Dalali hatakiwi kabisa.

imesajiliwa bongo na imetumika number ni BLJ.

kwa mawasiliano zaidi ni PM au andika barua pepe brayanmawela@gmail.com.
Duh!..haya matatizo ya wese watu sasa watamiliki baiskeli pekee.
 
Vivian iko Vitz ya Milioni 6. Ukitaka ni PM.

Vitz hapana, nataka gari kwaajili ya safari Ndefu. Mr. anakaa Iringa so I drive Dar Iringa regularly almost every weekend.

Pia kwetu moshi kila baada ya miezi mitatu huwa nakwenda. hiyo vitz kwa hizi safari nafikiri sio nzuri saaaana
 
Ipo spriter ya 1999 kwa 9m, cc1500, km 110,000 ni PM tufanye mchakato
 
Back
Top Bottom