Toyota Mark II GX110 of 2002 for sale.

Poa sana kaka. Ila kwa kuwa ni vvti, hapo ni noma kwangu. gari zenye vvti ni noma kwa mafuta na hizi foleni za dar, naogopa kutumia cylinder sita kwenye wese kwa mwendo wa km 20 kwa saa. Kaka waambie watu ukweli kuhusu fuel consuption system ya hii gari ili wakinunua wawe na ufahamu kamili wa aina hii ya magari.

Kwa wadau wengine, kifupi ni kwamba haya magari ya vvt-i yanapokuwa kwenye spidi chini ya nadhani 120,000 km/kwa saa, huwa yanakula sana mafuta kwani cylinder zote sita huwa zinafanya kazi, na yanapokuwa kwenye mwendo kasi zaidi ya hapo ndipo yanapotumia mafuta kidogo kwa kuwa ndani ya mwendo huo, ni cylinder nne tu zinazokuwa kazini. Kifupi ni kwamba kwa masafa mafupi, hii gari utaichukia sana, kwani itakupeleka sheli mpaka ukome.

Watch out!!!!!!!

Sio kweli hebu google vvti upate ilmu
Watch out!!!!!!!

Hilo li six cilinder kwa hiyo bei unadhani utampata nani na hii foleni na huu mgao wa mafuta labda 6m kidogo utampata mtu

Asee hebu google maana ya VVT-i ndo uzungumze unachozungumza hapa usipotoshe watu tafadhali....

halafu sio lila mtu ni mwoga kwenda kituo cha mafuta....kuna watu wanaweza kuafford sasa ukiweka tu blanket statements unawamislead watu

Poa sana kaka. Ila kwa kuwa ni vvti, hapo ni noma kwangu. gari zenye vvti ni noma kwa mafuta na hizi foleni za dar, naogopa kutumia cylinder sita kwenye wese kwa mwendo wa km 20 kwa saa. Kaka waambie watu ukweli kuhusu fuel consuption system ya hii gari ili wakinunua wawe na ufahamu kamili wa aina hii ya magari.
Kwa wadau wengine, kifupi ni kwamba haya magari ya vvt-i yanapokuwa kwenye spidi chini ya nadhani 120,000 km/kwa saa, huwa yanakula sana mafuta kwani cylinder zote sita huwa zinafanya kazi, na yanapokuwa kwenye mwendo kasi zaidi ya hapo ndipo yanapotumia mafuta kidogo kwa kuwa ndani ya mwendo huo, ni cylinder nne tu zinazokuwa kazini. Kifupi ni kwamba kwa masafa mafupi, hii gari utaichukia sana, kwani itakupeleka sheli mpaka ukome.
Watch out!!!!!!!

120,000 KM/HR huo labda ni ungo wa wachawi

Hilo li six cilinder kwa hiyo bei unadhani utampata nani na hii foleni na huu mgao wa mafuta labda 6m kidogo utampata mtu

Kwnimmeambiwa kila mtu yupo Dar? Wengine wapo Ngara hakuna cha foleni wala nini!!

Mkuu ulishawahi kumiliki gari?
Chevlolet station wagon v8,nimeinunua kutoka ughaibuni na nikaitumia kama mwaka na nusu na nikaja nayo hapa Tz na ndiyo naitumia lakini kwa safari za mbali peke yake sio kwa safari za hapa mjini.

Hilo li six cilinder kwa hiyo bei unadhani utampata nani na hii foleni na huu mgao wa mafuta labda 6m kidogo utampata mtu

Kwani watu wote wanaishi DAr kaka au? wengine wanakula maisha mikoa safi tuu haina mafoleni ya kipuuzi puuzi kama dar dont be selfish.

120,000 KM/HR huo labda ni ungo wa wachawi

Hapo pekundu (uko sahihi kabisa)!
Kwa namna hiyo Vivian hana haja ya kusita - chukua kitu hicho, labda cha kujiuliza utakuwa unapita barabara gani!

Hata ndege haiendi hivyo, nadhani ni 400km au miles/hr.
Sasa hii ya 120,000km/hr, duh!

wenye uwezo wa wese endeleeni, nimehamia kwenye pikipiki nako nnatoka jasho, natafuta mountin bike sasa

Back
Top Bottom