Toyota IST na Toyota ALLEX ipi bora

ng'ombo

JF-Expert Member
Dec 1, 2014
418
619
Habari za wanabodi wezangu nnaomba ushauri wenu katika aina hizo mbili za magari hapo juu kwa uzoefu wenu ipi ni bora zaidi kwa uimara wa bodi na upatikanaji wake wa vipuri. Nnakaribisha maoni yenu.
 
Kabla haujaja kwetu naamini kuna chaguo lako ambalo ulikua tayari kushajiwekea...haya nikuulize wewe unapenda ipi ndani ya moyo wako.
 
Kabla haujaja kwetu naamini kuna chaguo lako ambalo ulikua tayari kushajiwekea...haya nikuulize wewe unapenda ipi ndani ya moyo wako.
Zote nnazipenda mkuu ila ktk manunuzi inabidi kuchagua moja sasa kabla ya kununua nilitaka kujua kila moja uimara wake wa body, unywaji wa wese na upatikanaji wa vipuri
 
Ist ni 1.5 ltrs top while allex ni 1.8 ltrs top kwahio ni wazi kuwa ist haitakula sana kiwese
 
Zote nnazipenda mkuu ila ktk manunuzi inabidi kuchagua moja sasa kabla ya kununua nilitaka kujua kila moja uimara wake wa body, unywaji wa wese na upatikanaji wa vipuri
Mkuu IST na Allex zote ni gari ndogo sana kiasi cha kuwaza juu ya consumption ya mafuta, yaaan ukiweka mafuta ya elfu hamsini utazunguka na gari mpaka utajisikia vibaya kwa nn mafuta hayaishi.
Hapo angalia unavutiwa hasa gari gani ndo ununue. Spare usiwaze zipo kila kona ya hii nchi hadi Tandahimba zinapatikana. Cha msingi zingatia service na uitunze vzr kana kwamba unatarajia kuiuza muda sio mrefu.
 
Kwahivyo allex sio ngumu

Jombaa Extrovert hujambo.
Sikia bro, kuna hizi gari mbili nazi-admire sana... Toyota Allion na Toyota Allex. Unakuta zote zina cc 1490 tuseme.

Huwa nikiitazama Allex naona ni kama walichukua Allion wakaikata matako yake ikawa fupi.

Lakin kinachonishangaza gari zote mbili zinauzwa kwa bei almost sawa kwenye masoko mengi ilhali moja ni mdogo nyingine ni medium saloon.

Sasa inakuaje watu wanachukua ki-babywalker Allex kwa bei sawa na wangenunua tu Allion ambayo iko more comfortable.

Ama kuna kitu sikielewi mkuu...
Mfano nikijichanga mdogo mdogo nikawa na 10 million mfukon, naweza pata moja ya gari hizo. Unanishauri nichukue gari gani kati ya hizo.
 
Back
Top Bottom