Hii ndio kluger magari yenye kudumu ,my friend analo mwaka wa 10 huuToyota Highlander from 2005 to 2007, ni bonge la gari kuwabi kutokea.
Itakuja kamati ya subaru kupinga hili, ili huo ndio ukweli.View attachment 2599765
🤣🤣Gari kama kishikwambi
watu wana maneno😃
KlugerToyota Highlander from 2005 to 2007, ni bonge la gari kuwabi kutokea.
Itakuja kamati ya subaru kupinga hili, ili huo ndio ukweli.View attachment 2599765