Toto la kichina!

Ernie

JF-Expert Member
Aug 3, 2010
217
23
Kuna dada mmoja Mzambia aliolewa na Mchina, akala mimba, muda ulipowadia yule binti akajifungua, mtoto aliishi kwa muda kama wa masaa 3 baada ya hapo akafa.

Msibani nyumbani wakati watu wamejikusanya mara akaja shangazi toka kijiji, akaanza kupiga kelele, "Mi nilijua tu, nilijua tu" ikabidi wamuite kando wamuulize kulikoni kuwa alijua kwamba mtoto atakufa?

Shangazi akajibu, "I knew that Chinese things don't last for long"
 
Si kila kitu cha wachina ni kibaya,ni kutokana na wafanyabiashara wetu kutaka watengenezewe vitu vingi kwa bei nafuu,nimejionea mwenyewe kwani nipo mahali husika,vitu vyao ni safi kama utahitaji kwa ile bei ambayo wao wameiweka
ushauri kwa wafyabiashara,kama unaona mtaji ni mdogo no need for demanding cheap one,ni maumivu kwa wengine na mchina haachi pesa yupo kama mchaga,unacho hitaji utapewa

mapinduziiiii daimaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom