Topic-KUBWA tamu,Ndogo Tamu Kidogo,NdEFu inafika mwisho,FUPI Inapapasa

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Dondoo za Stand.
Haya Maneno muda huu nipo stand ya Kimara naenda posta Kuna wasichana 3 wanajadili.Sijui wenzagu mko group gani hapo du.

WASHIRIKI. wale wote wenye vigezo tajwa juu kujua ukweli huo.
Jinsia Mi KIDUME CHA MBEGU WA MAPACHA WA 3
Ova
 
Kama ni wasichana kwa nini nawe hukuangana nao uwaulize, mbona na wewe ni mschana au wewe ni Mmama ? Maana jina lako ni Zubeda.
 
Ni vema mtoa maada akatudadavulia kwanza ni jinsia gani anayotaka ishiriki huu mjadala wake. Wengine tuanogopa kuingia kusikotuhusu.
 
Dondoo za Stand.
Haya Maneno muda huu nipo stand ya Kimara naenda posta Kuna wasichana 3 wanajadili.Sijui wenzagu mko group gani hapo du.

WASHIRIKI. wale wote wenye vigezo tajwa juu kujua ukweli huo.
Jinsia Mi KIDUME CHA MBEGU WA MAPACHA WA 3
Ova
Nikiangalia jina lako, avatar yako, topic zako unazozipenda....halafu unavyolazimisha kuwa wewe ni "kidume cha mbegu", napata mashaka makubwa sana.
Jiangalie sana...!
 
hata konnie ilikuwa hivihivi lakini mwisho wa siku washamjua ni she ila kaka zubeda we kiboko..
 
Kubwa tamu
Ndogo tamu kidogo
Ndefu inafika mwisho
Fupi inapapasa

Noted!
 
Nikiangalia jina lako, avatar yako, topic zako unazozipenda....halafu unavyolazimisha kuwa wewe ni "kidume cha mbegu", napata mashaka makubwa sana.
Jiangalie sana...!

Simba hatishiwi Pori,Msitu haufyekwi kwa Wembe.
Jiangalie.Jitazame.jitizame.jiongeze
 
Nikiangalia jina lako, avatar yako, topic zako unazozipenda....halafu unavyolazimisha kuwa wewe ni "kidume cha mbegu", napata mashaka makubwa sana.
Jiangalie sana...!

kama ni kidume basi ashamegwa sana kawa mdada mdebwedo haswaa
 
tuache kumjadili mtoa mada bhana, fungukeni kuhusu mada yenyewe. kama ni ke au me atajua mwenyewe. purple, madameX, smile, lizzy, firstlady1.......nayasubiri maoni yenu.
 
Back
Top Bottom