Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,459
- 29,157
Naomba uelewe kuwa CCM iko makini sana haiwezi kusimamisha watu wenye makundi yanayosigana hadharani kwani ukimchukua mmoja ukamuacha mwingine itakuwa rahisi kwa makundi yaliyoachwa kuasi chama na wataondoka na wanachama wengi au watawahamasisha watu wao wapigia upinzani.
Hivyo basi CCM imejipanga kuhakikisha wagombea wanaojipambanua kuwa wanafaa kuwa marais wakati huohuo wana makundi hawapiti CC kwenda kupigiwa kura NEC.
Hivyo kwa mtazamo wangu wanaofaa kwa CCM ni hawa hapa;
1. Prof. Mark Mwandosya
2. Peter Kayanza Pinda
3. Asha Rose Migiro
Kwa Chadema
1. Dr. Wilbroad Slaa (Phd)
Kwa CUF
1. Prof. Lipumba
Amini usiamini hivi ndivyo itakavyokuwa.
We panga kwa nchi mkuu, sio kwa vyama.
Binafsi ningependelea kama ifuatavyo.
1) Dr. W. P. Slaa
2) F. A. Mbowe
3) H. Mwakyembe
4) Shark
5) Shark