Top 5 ya urais 2015

kuliko kutawaliwa na huyo, ni bora kukaa bila RAIS! period!

lipumba hana mpinzani kati ya hao waliotajwa.hana kashfa yoyote katika jamii pia ana uzoefu wa kusaidia kukuza uchumi katika nchi kama vile uganda msumbiji na malawi. na pia ni miongoni mwa mwanauchumi aliyebobea kitaifa na kimataifa.hao wengine wote hawana uzoefu wakitaifa wala wakimataifa labda wizi.
 
Dr.Slaa ataiongoza vizuri nchi endapo asilimia kubwa ya watu wa usalama wa taifa watakubali mabadiliko na kumpa ushirikiano.Lakini italazimu kuwa na waziri mkuu sana asiwe kama Lowassa wala Mtoto wa mkulima wa mihogo.
 
Kama uchaguzi wa raisi 2015 ungefanyika leo, basi ningeenda tu kupiga kura kama hawa wafuatao watakuwepo. Hapa nawapanga katika descending order, kwa maana kwamba kama atakuwepo zaidi ya mmoja ya hao waliopo kwenye list, basi aliye juu ndiye atakayepata kura yangu. Kwa maoni yangu, kati ya wanasiasa ninaowafahamu sasa, hawa ndio wenye uwezo wa kuperform uraisi hapa Tanzania.

  1. Dr W. Slaa
  2. Mh. F. Mbowe
  3. Mh. John Magufuli
  4. Mh. Edward Lowassa
  5. Mh. Tindu Lissu

NB; Masharti na vigezo (vya katiba) vimezingatiwa...

Salim+Ahmed+Salim1.jpg
salim-ahmed-salim.jpg
 
ni mtu anayetaka sana cheap popularity, mbinafsi, ndumilakuwili, uchu wa madaraka...............mambo ambayo ni hatari sana katika siasa.

Ushauri wangu,ondoa Edward Lowasa weka Z kabwe kwani Z Kabwe ni mtu anayejiamini katika misimamo yake na ndiyo sifa ya mkuu wa nchi,EL NI MKURUPUKAJI NA HANA INDEPENDENT EDUCATION CUO.
 
kama uchaguzi wa raisi 2015 ungefanyika leo, basi ningeenda tu kupiga kura kama hawa wafuatao watakuwepo. Hapa nawapanga katika descending order, kwa maana kwamba kama atakuwepo zaidi ya mmoja ya hao waliopo kwenye list, basi aliye juu ndiye atakayepata kura yangu. Kwa maoni yangu, kati ya wanasiasa ninaowafahamu sasa, hawa ndio wenye uwezo wa kuperform uraisi hapa tanzania.

  1. dr w. Slaa
  2. mh. F. Mbowe
  3. mh. John magufuli
  4. mh. Edward lowassa
  5. mh. Tindu lissu

nb; masharti na vigezo (vya katiba) vimezingatiwa...

magufuli ni bure kabisa, ni mtu wa majisifa na visasa, ni mbinafsi sana. Kama alifikia mahali pa kumwambia mbunge mwenzake kuwa barabara anayoiomba hataipa fedha japo kuwa wanatoka mkoa mmoja eti kwa kuwa aliondoa shilingi kwenye budget yake, je? Mtu kama huyo anafaa kuwa rais? Si atalipiza visasi tu. Hafai
 
Ushauri wangu,ondoa Edward Lowasa weka Z kabwe kwani Z Kabwe ni mtu anayejiamini katika misimamo yake na ndiyo sifa ya mkuu wa nchi,EL NI MKURUPUKAJI NA HANA INDEPENDENT EDUCATION CUO.


ZZK bado ni Serengeti boy..hana umri wa kumwezesha kugombea,so he should not waste our precious time.

Vigezo na masharti kuzingatiwa PERIOD
 
Nakuhakikishia nchi hii ingepata watu kama Magufuli (Rais) Maalim Seif (makamo wa Rais) na Dk Slaa (PM) tungepiga hatua kubwa sana kimaendeleo.
 
Back
Top Bottom