toka leo nimejitoa facebook -oneni ujumbe huu wenyewe

I can see
ni kweli mambo ya mitandao ya kijamii kwa sehemu kubwa ni kama tumeibaka, haitumiki ilivyokusudiwa ila pia inashangaza mtu una friends 1000 afu unaowafahamu ni 10 tu.
mimi ni wahapa hapa sasa
 
Hello how are you Do you know I love black girls because they are beautiful and exciting and has a great ass and very exciting and wonderful lips I want to see your ass, anus, breast, and I will pay you $ 500 after that offer first ... I can not send mil, mainly because of deception by one of the girls from Cameroon when he sent her $ 250 did not see her body ... Think carefully if you're OK and you have a cam Send your e-mail I swear to you I am honest with you my promise to send money
What do you think if send you $1000...come on girl...you know girl all american guys we like to have black girls.......so I'm still like you although u have some thing which our american girls have it!
You know what things I mean?
 
jamaa wanabembeleza kweli ukijitoa wanakupa siku14 za kujifikiria angalia usiwe tempted kurudi huko. hata hivyo naomba uni PM i have the same deal for you
 
jamaa wanabembeleza kweli ukijitoa wanakupa siku14 za kujifikiria angalia usiwe tempted kurudi huko. hata hivyo naomba uni PM i have the same deal for you
loh na wewe wataka nijitoe humu? deal gani tena mkuu?
 
sasa unajitoa badala ya kufurahia dili. Mwambie atume kwanza hela wewe ni mwaminifu, huwezi kumdanganya. Mwelekeze kwamba huwezi kumwonyesha kabla hujaona hela asije akaingia mitini. Unashindwa kutengeneza skype ya uongo chapuchapu ili umadd. Hebu kula hizo dola 500. Kwa wanaume wenye akili fyatu na za kidhalilishaji namna hii hakuna haja ya kuwaachia. Tafuna hiyo hela.

We ni bazazi mende wewe
 
Hujauelewa ujumbe. Sisemi umuonyeshe hayo masaburi au k kama jamaa anavyotaka. Nasema mwingie kinamna akupe hela halafu mpotezee.
ahahaaa sitaki hela yenyewwe ndogo
 
yaani kisa katapeliwa vidola 250 ndo anataka apewe show halafu ndo alipe,kwanza ni dollar ya wapi us au ya kwa bob mugabe.
kwanza nani kamwambia kuwa wewe wewe unajiuza,hebu nikabidhi nimkomeshe huyu bazazi
 
yaani kisa katapeliwa vidola 250 ndo anataka apewe show halafu ndo alipe,kwanza ni dollar ya wapi us au ya kwa bob mugabe.
kwanza nani kamwambia kuwa wewe wewe unajiuza,hebu nikabidhi nimkomeshe huyu bazazi
eti sis mpuuzi kweli atoe hela za mjengo aone
hela gani iyo hata ka blackbery hainunui
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom