toka leo nimejitoa facebook -oneni ujumbe huu wenyewe

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,610
Hello how are you Do you know I love black girls because they are beautiful and exciting and has a great ass and very exciting and wonderful lips I want to see your ass, anus, breast, and I will pay you $ 500 after that offer first ... I can not send mil, mainly because of deception by one of the girls from Cameroon when he sent her $ 250 did not see her body ... Think carefully if you're OK and you have a cam Send your e-mail I swear to you I am honest with you my promise to send money
 
Ndo umeshtuka leo
Bado wangekutumia na picha zao wakiwa tupu ndo ungeamini matumizi ya facebook sio yaliyotegemewa na waanzilishi wake
Pole sana
 
sasa unajitoa badala ya kufurahia dili. Mwambie atume kwanza hela wewe ni mwaminifu, huwezi kumdanganya. Mwelekeze kwamba huwezi kumwonyesha kabla hujaona hela asije akaingia mitini. Unashindwa kutengeneza skype ya uongo chapuchapu ili umadd. Hebu kula hizo dola 500. Kwa wanaume wenye akili fyatu na za kidhalilishaji namna hii hakuna haja ya kuwaachia. Tafuna hiyo hela.
 
Ndo umeshtuka leo
Bado wangekutumia na picha zao wakiwa tupu ndo ungeamini matumizi ya facebook sio yaliyotegemewa na waanzilishi wake
Pole sana
bro nimejidelete kabisa
najuuta kutoufata ushauri wako toka siku ile aisee
 
sasa unajitoa badala ya kufurahia dili. Mwambie atume kwanza hela wewe ni mwaminifu, huwezi kumdanganya. Mwelekeze kwamba huwezi kumwonyesha kabla hujaona hela asije akaingia mitini. Unashindwa kutengeneza skype ya uongo chapuchapu ili umadd. Hebu kula hizo dola 500. Kwa wanaume wenye akili fyatu na za kidhalilishaji namna hii hakuna haja ya kuwaachia. Tafuna hiyo hela.
mimi sio wa hivo mkuu nathamini k yangu sana
 
Sasa sinafuu huyo anangalia tu anatoa pesa.Je hawo wanaokula halafu wanakukopa au kukurusha yupi bora.
 
bro nimejidelete kabisa
najuuta kutoufata ushauri wako toka siku ile aisee

Pole sana aise
Kuna watu wanafurahia sana uwepo wa facebook maana wanatimiza malengo yao
Wengine wanawapata marafiki wapya na kukutana na ndugu zao wa zamani na marafiki wa zamani
Ila asilimia kubwa nayo ni ile ambao wanaitumia facebook ndivyo sivyo
Na ni wengi hao sana so kama utakuwa member ni kujaribu kuwa makini na marafiki unaowa add kwenye friend list yako
 
I can see
ni kweli mambo ya mitandao ya kijamii kwa sehemu kubwa ni kama tumeibaka, haitumiki ilivyokusudiwa ila pia inashangaza mtu una friends 1000 afu unaowafahamu ni 10 tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom