Toka jimboni Arumeru: UVCCM Arusha wagomea posho toka kwa mbunge...

haiseeeeeee katarina anapataga wapi hisi pesa za kugawa kuna wakat aligawa buk50 kwa vijana100kila mmmoja?duh sio kuwa anasambaza za mzee mweye nywele nyeupe? ha ha ha ha watu wanatamani urais kuliko pepo doh duh duh gawa mama na mwenzio al qaeda si kapewa ubalozi hapo nch jirani ha ha ha haisie mzee wa richmond kweli bil gates wetu
 
Kazi kweli kweli! Hii nayo habari ama kuchafuana tu?

Hivi wewe ni Doctor kweli au ni Getruda Lwakatare type?!!Ila jina lako kwa mjibu wa kabila fulani hapa tz lina maanisha mlio wa debe tupu linapoanguka chini,nadhani maana hii ni kielelezo halisi cha wewe mwenyewe hata na ukoo wako wote.Kama ndiyo wewe nakushauri usiwe unachangia kitu hapa JF,kuwa msomaji tu wa kawaida,kinyume chake mkuu utasababisha matatizo makubwa sana hapa...au umetumwa kuja kuwa source ya Ban hapa JF na ma.ga.m.ba?!!!!!
 
Mods jiandaeni kunipiga ban ya maisha kama Hkigwangalla ataendelea kuchangia hapa JF,nilimsitahi sana kwenye ile comment yake kuhusu hoja ya Zitto dhidi ya zao la mkonge...ni baada ya kuona great thinkers wengi wakijitahidi kumwelimisha kwa kina juu ya comment yake na nilitegemea ata adimiti udhaifu regardless ni wakwake binafsi au wabunge wa ccm na serikali yao kwa ujumla....badala yake anaibuka na uharo mwingine kwenye hii thread???!!!Anyway wacha niipate Tusker yangu bariiiiidi,ni punguze munkari.
 
Inasikitisha sana unachokisema hukijui vizuri maana hata hao viongozi wa chama chako nao wanayafanya hayo hayo! Tena bora CCM tunatoa michango ya kuimarisha chama chetu kwa hiari na kwa kuhamasishana kukihuisha chama chetu kwa kukichangia harambee, kuna vyama vingine wamewekeana viwango vya lazima, kama 'payback charges' kwa kupewa ubunge!
Hamis Kingwangwalla, USITURUSHIE HOJA! Unashangaa nini wakati weye wajua kuwa huo ni UTAMADUNI wa CCM? Huyu Magige anachotoa ni RUSHWA siyo posho? Mie sishangai kuwa MNADAI MAPATO yenu yaongezeke MNAPOKAA Bungeni! Matumizi yake ndo haya! Sofia Simba naye anawabana Wabunge wanawake wa CCM. Hapa Magige atatoa hesabu ya Matumizi ya POSHO zake kwa Mwenyekiti wake! Je, kwa staili hii CCM mna intergrity ya kuendelea kuongoza nchi?
 
Hivi utapata sifa kwa kumtukana Kigwangalla kwa kusema ukweli?
Mods jiandaeni kunipiga ban ya maisha kama Hkigwangalla ataendelea kuchangia hapa JF,nilimsitahi sana kwenye ile comment yake kuhusu hoja ya Zitto dhidi ya zao la mkonge...ni baada ya kuona great thinkers wengi wakijitahidi kumwelimisha kwa kina juu ya comment yake na nilitegemea ata adimiti udhaifu regardless ni wakwake binafsi au wabunge wa ccm na serikali yao kwa ujumla....badala yake anaibuka na uharo mwingine kwenye hii thread???!!!Anyway wacha niipate Tusker yangu bariiiiidi,ni punguze munkari.
 
Inasikitisha sana unachokisema hukijui vizuri maana hata hao viongozi wa chama chako nao wanayafanya hayo hayo! Tena bora CCM tunatoa michango ya kuimarisha chama chetu kwa hiari na kwa kuhamasishana kukihuisha chama chetu kwa kukichangia harambee, kuna vyama vingine wamewekeana viwango vya lazima, kama 'payback charges' kwa kupewa ubunge!

Mkuu kugawa baiskeri ndo kuimarisha chama? Nini kazi ya serikali yenu? kwani nyie mnakusanya kodi? Na kwa nini zigawaiwe kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi wa mdogo? Mkuu mtawawadanganya watanzania kwa muda fulani lakini hamtaweza kuwadanganya kwa kipindi chote
 
Jamani msiongee mambo msiyo yajua huyu mh mbunge hakwenda jimbo lauchaguzi bali alienda Arumeru magharibi jimbo linaloongozwa na Mh olemedeye siyo arumeru mashariki.naalienda kufungua vikundi 40 vyakinamama wajasiriamali 1200! Tujifunze kutambua mchango wawenzetu hata kidogo tusichangie kwaushabiki tuu.huyu sister anajithidi kwenyekazi zake ingawa yupo magamba huwa namuona sana na mbunge wetu wa cdm mukya naona atakua nimshauri wake wakaribu
 
Nimeishakujua wewe ni nani, sina haja ya kujibishana na wewe, maana siyo saizi yangu na pia una lako jambo, maana nimeshtushwa na reaction yako kwa ka-comment kangu kadogo tu!
Hivi wewe ni Doctor kweli au ni Getruda Lwakatare type?!!Ila jina lako kwa mjibu wa kabila fulani hapa tz lina maanisha mlio wa debe tupu linapoanguka chini,nadhani maana hii ni kielelezo halisi cha wewe mwenyewe hata na ukoo wako wote.Kama ndiyo wewe nakushauri usiwe unachangia kitu hapa JF,kuwa msomaji tu wa kawaida,kinyume chake mkuu utasababisha matatizo makubwa sana hapa...au umetumwa kuja kuwa source ya Ban hapa JF na ma.ga.m.ba?!!!!!
 
Inasikitisha sana unachokisema hukijui vizuri maana hata hao viongozi wa chama chako nao wanayafanya hayo hayo! Tena bora CCM tunatoa michango ya kuimarisha chama chetu kwa hiari na kwa kuhamasishana kukihuisha chama chetu kwa kukichangia harambee, kuna vyama vingine wamewekeana viwango vya lazima, kama 'payback charges' kwa kupewa ubunge!
Hapo kwenye RED bila shaka Sofia Simba anahusika na UWT yake na wabunge wa viti maalum CCM walipogoma kuchangia Jumuiya shillingi 100,000/= kila mwezi.
 
Jamani msiongee mambo msiyo yajua huyu mh mbunge hakwenda jimbo lauchaguzi bali alienda Arumeru magharibi jimbo linaloongozwa na Mh olemedeye siyo arumeru mashariki.naalienda kufungua vikundi 40 vyakinamama wajasiriamali 1200! Tujifunze kutambua mchango wawenzetu hata kidogo tusichangie kwaushabiki tuu.huyu sister anajithidi kwenyekazi zake ingawa yupo magamba huwa namuona sana na mbunge wetu wa cdm mukya naona atakua nimshauri wake wakaribu

Mkuu unacho sema na kifahamu lakini Tambua kwamba kule Oldonyosambu kuna conection na jimbo la uchaguzi, kule Oldonyosambu Wameru ni wengi sana na wana ndugu zao upande wa pili wa mrima so kuna conection kubwa sana asikudanganye mtu, Na hata hivyo vikundi anao dai kwenda kufungua na vihamu fika mkuu, na wao wananifahamu vizuri sana, hapa ni siasa tu mkuu hakuna chochote kile,
 
Nimeishakujua wewe ni nani, sina haja ya kujibishana na wewe, maana siyo saizi yangu na pia una lako jambo, maana nimeshtushwa na reaction yako kwa ka-comment kangu kadogo tu!

Mkuu wewe ni malaika? kama unaweza tambua watu humu basi unatisha sana,
 
Mkuu unacho sema na kifahamu lakini Tambua kwamba kule Oldonyosambu kuna conection na jimbo la uchaguzi, kule Oldonyosambu Wameru ni wengi sana na wana ndugu zao upande wa pili wa mrima so kuna conection kubwa sana asikudanganye mtu, Na hata hivyo vikundi anao dai kwenda kufungua na vihamu fika mkuu, na wao wananifahamu vizuri sana, hapa ni siasa tu mkuu hakuna chochote kile,

Hapo umechemsha mkuu! Kama unavifahamu watu wasitembelewe? Kwasababu uchaguzi umekaribia arumeru mashariki? watu wasifanya kazi zao magharibi kisa tu wapo karibu au wanandugu huko?sijaona tatizo likowapi zaidi yachuki zakisiasa
 
Nimefanya utafiti kutoka kwa makamanda wa CCM walioko Arumeru na kubaini kuwa Mbunge Catherine Magige hakufanya mkutano Arumeru Mashariki, yeye alikuwa Arumeru Magharibi (jimboni kwa Mhe. Ole Medeye). Hivyo tuhuma kwamba Magige alitoa pesa (ambayo ingebashiriwa kuwa ni rushwa kwenye uchaguzi wa Arumeru inapotea). Mhe. Catherine Magige (MB, Viti Maalum, UVCCM) alikuwa kwenye ziara yake ya kawaida ya kikazi kwenye Kijiji cha Muklat, Kata ya Olkokola, Jimbo la Arumeru Magharibi. Na kule alikutana na kuvihutubia vikundi 40 vya wajasiriamali wanawake wenzake waliokuwa takriban 1200, na alijitolea mchango wa baiskeli za walemavu. Tumpeni pongezi kwa kazi nzuri anazoendelea kuzifanya nje ya bunge, nje ya chama, ndani ya umma!

Mimi niwaombe tu wenzetu kwenye media yoyote ile wawe makini na taarifa wanazozipata kabla hawajazichapisha hususan kutoka kule Arumeru (walau kwa sasa, maana lile ni eneo la uchaguzi) kuchelea zisiwe na negative implications kwa baadhi ya vyama kwenye uchaguzi unaokuja!

Wakatabahu,
HK.
 
Hakuna sababu ya kuwa na wabunge wa viti maaluma kwa Taifa letu, is waste of money, tunahitaji tubakiwe na wabunge 10 tu wa kuteuliwa na Rais ili kumpa fursa Rais kuchaguwa mwenyewe mtu anayemtaka awe waziri.
 
hapo umechemsha mkuu! Kama unavifahamu watu wasitembelewe? Kwasababu uchaguzi umekaribia arumeru mashariki? Watu wasifanya kazi zao magharibi kisa tu wapo karibu au wanandugu huko?sijaona tatizo likowapi zaidi yachuki zakisiasa

najua hutakaa ukubaliane na mimi, ila ukweli utabakia ukweli na uongo utabakia kuwa uongo
 
Sophia SImba hawezi kuhusika hapa kwenye hili maana yeye walau anawaomba wabunge wenzake wa viti maalum UWT wajitokeze kuchangia jumuiya yao, lakini chama chako na vingine vya upinzani vyenye wabunge vinawalazimisha wabunge wake, hakuna utashi wao wala nini, ni lazima wachangie kwa vile wamepewa fursa ya ubunge (ajira) na chama na hivyo ni lazima wachangie watake wasitake!
Hapo kwenye RED bila shaka Sofia Simba anahusika na UWT yake na wabunge wa viti maalum CCM walipogoma kuchangia Jumuiya shillingi 100,000/= kila mwezi.
 
Ng'wana Sweke, sasa wewe Mami vipi tena? Hata kama umegombana na Hamis K. ndiyo utukane familia nzima? Kwanza unaifahamu familia yake yote hadi uone kuwa ndivyo ilivyo? Ina maana familia nzima ni Madokta kama yeye? Ina maana wote wanaandika hapa JF kama yeye? Hata kama kaandika mambo unayapinga, si kumtukana au kumkejeli yeye na familia yake yote kwa ujumla. Hata mila zetu Wanyamwezi/Wasukuma (Kwa kuangalia jina nafikiri na wewe ni Ngosha) hazisemi tuwe tnatoleana kejeli watu wa makamo (uwi, mie siyo mtu mzima tangu utotoni).

Nikija kwa Dr Kigwangallah, hivi kwa nini kabla hujaanza kukejeli hapo juu, hukuja na habari kamili ya Magige? Si lazima umkejeli mtu au thread yake hata kidogo. Unaweza tu ukaja na habari kamili kupinga hiyo ya uongo (kama ni kweli) na bila kuweka neno hata moja zaidi. Watu watakusoma na kukuelewa zaidi na heshima yake itakuwa juu.

Kwenye Biblia imeandikwa AND THE TRUTH WILL SET YOU FREE.

Mwisho, asante kwa ufafanuzi wa habari ya Magige na nategemea hiyo ndiyo itakuwa ya ukweli maana vinginevyo, utakuwa umeamsha moto mkali kwa watu kuanza kupekua habari yenyewe na kesho ikaandikwa kwenye magazeti.
 
Back
Top Bottom