Zipuwawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 3,051
- 653
Kama ulimuonea asiseme?mvulana akikutoa kidogo kesho yake asubui subui yuko jf kulalamika umemchuna..ovyo kweli uadhani uwa wanalazimishwa
Kama ulimuonea asiseme?mvulana akikutoa kidogo kesho yake asubui subui yuko jf kulalamika umemchuna..ovyo kweli uadhani uwa wanalazimishwa
Mkuu hii sredi yako ni tego ujue. Lawyer nimeshtukia!lol........itendee haki thread aisee.....nasubiri bado lol...........
hongera kaa hvohvo tafuta mwanamkewewe ni mwanaume?[Ndio ni mwanaume
wengi wa wasichana wa siku hizi wapo kwaajili ya pesa tu hakuna penzi hapo.We unadhani ni kwa nini wavulana wanalalamika kuwa wanasichana wanachungulia mifuko yao? wanagaharamikaaa, wakitegemea kulipwa baadae, kumbe na wasichana walishawajua wavulanaaa, wakishakula wanahamia kwa wanume wa ukweli, LOL
Miimi kwa kiingereza naitwa jentelmen.Sasa hivi tunaainisha wanaume na wavulana, je wewe uko kundi gani? Isije kuwa kazi yako ni kuwalisha wa2 mauchungu tuuu
wakikua wataacha!!!asant mkuu..
ajabu wadada wengi hawajui umri sio kigezo kabisa lol
Naunga mkono hoja, kuna kazee hapa kitaa kako kama 55 kakiona mwanamke mrembo kakatiza tu basi kanaaga kijiwe na kanasema laivu "naenda kumlia nyeto, kulaleki" , haka ni kavulana tu labda katakuwa kanaume kakiingia kaburini.Well said Boss.... tofauti ni kubwa sana, na umri means nothing when it comes to a man or a boy!!!
context matters
Naunga mkono hoja, kuna kazee hapa kitaa kako kama 55 kakiona mwanamke mrembo kakatiza tu basi kanaaga kijiwe na kanasema laivu "naenda kumlia nyeto, kulaleki" , haka ni kavulana tu labda katakuwa kanaume kakiingia kaburini.
kumbe kuna wanaume na wavulana eeeh ngoja nitafute wanaume sasa
Bebii,hivi TF ni mvulana au mwanume?
By the way kesho naruka na uzi wa...'tofauti ya msichana na mwanamke....
Kwa kuanzia:
msichana Bishanga nikimpiga kamilioni breki ya kwanza SH Amon kununua vipodozi,mwanamke atawekeza kwenye kakiwanja hata kama ni Chanika Mvita...
....itaendelea
umesau na shopping shoprite au imalaseko itaendeleaBebii,hivi TF ni mvulana au mwanume?
By the way kesho naruka na uzi wa...'tofauti ya msichana na mwanamke....
Kwa kuanzia:
msichana Bishanga nikimpiga kamilioni breki ya kwanza SH Amon kununua vipodozi,mwanamke atawekeza kwenye kakiwanja hata kama ni Chanika Mvita...
....itaendelea
Well said Boss.... tofauti ni kubwa sana, na umri means nothing when it comes to a man or a boy!!!
context matters
asant mkuu..
ajabu wadada wengi hawajui umri sio kigezo kabisa lol
Miimi kwa kiingereza naitwa jentelmen.