Kwa wanaume na wavulana wote

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Habari zenu...

Kama unajua wewe ni mwanaume au mvulana na unatabia ya kusuka nywele za kichwani, kuvaa hereni, kutoboa pua, kuweka nywele blich jueni wazi kabisa hamfai kuoa kabisa au kuwa na mahusiano ya kimapenzi au urafiki na mwanamke au msichana yeyote yule kwani kufanya hivyo ni kosa kwa sababu wote mnafanana hivyo wote ni wakike ....

Ikumbukwe pia, ewe mwanamke au msichana kuolewa au kuwa na mahusiano ya kimapenzi au kirafiki na mwanaume au mvulana wa aina hii ni kujidhalilisha kijinsia na hata kujishushia heshima yako mbele ya jamii

Nb. Na sisi kama wanaume popote pale tuwaonapo wanaume na wavulana wa aina hii tuwaambie ukweli bila ya kupepesa macho
 
Back
Top Bottom