Tofauti ya antivirus kwa ajili ya internet na kwa ajili ya computer

kiloloma

Member
Oct 16, 2011
54
3
Wana Jf naomba kujuzwa tofauti ya hizo antivirus nataka kwenda kununua kwa ajili ya laptop yangu na pia aina ipi ni nzuri
 
Avast Professional ndio nzuri kwa internet n kwa computer.....

Nimetumia Norton Antivirus , Kaspersky Antivirus, Microsoft Essential Security mwishoni nikahamia Esset Smart Security 5. Kati ya hizo zote Esset Smart Security 5 nimeikubali na ndio natumia hadi leo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom