Hivi vinaumiza vichwa kwamba hawa watoto wa mafisadi wanataka kututawala. Ni hatari sana kuona wanatumia "the same play book za Baba Zao Kuingia Kwenye Politics na Utajiri-Ufisadism"
Kwetu sisi Watanzania, Watoto wa Mafisafdi ni sawa kabisa na Watoto wa Gaddafi na Mubarak
Mtoto wa Gaddafi Ameiba billions za fedha na sasa ametangaza Vita na Walibya
Mtoto wa Mubarak Ambaye Ameiibia Egypt Billions of dollars
Maswali kwetu watanzania ni haya:
1. Kitu gani kinatushinda kusimamisha haya majanga nchini mwetu?
2. Anayekubali kuwaweka hata ndani ya ccm ni nani?
3. Kwa hiyo ufisadi ndio njia inawafanya wananchi kuwabeba migongoni mpaka familia zao zitumalize
4. Deals kama "Downs" zinapikwa tena na January kwenye vikao vya siri (bungeni) ili Watanzania waelezwe umunimu wa umeme wakati "kuna makumpuni mengi duniani yapo tayari kusaidia solution ya umeme long term"

"This is not democracy ni ufisadism"