Tofauti: January Makamba, Ridhiwani Kikwete na Vijana wa Kitanzania. Similarities?

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
Hivi vinaumiza vichwa kwamba hawa watoto wa mafisadi wanataka kututawala. Ni hatari sana kuona wanatumia "the same play book za Baba Zao Kuingia Kwenye Politics na Utajiri-Ufisadism"

1.jpg

0.jpg

Kwetu sisi Watanzania, Watoto wa Mafisafdi ni sawa kabisa na Watoto wa Gaddafi na Mubarak
dt.common.streams.StreamServer.cls

Mtoto wa Gaddafi Ameiba billions za fedha na sasa ametangaza Vita na Walibya

gamal.jpg

Mtoto wa Mubarak Ambaye Ameiibia Egypt Billions of dollars

Maswali kwetu watanzania ni haya:
1. Kitu gani kinatushinda kusimamisha haya majanga nchini mwetu?
2. Anayekubali kuwaweka hata ndani ya ccm ni nani?
3. Kwa hiyo ufisadi ndio njia inawafanya wananchi kuwabeba migongoni mpaka familia zao zitumalize
4. Deals kama "Downs" zinapikwa tena na January kwenye vikao vya siri (bungeni) ili Watanzania waelezwe umunimu wa umeme wakati "kuna makumpuni mengi duniani yapo tayari kusaidia solution ya umeme long term"

"This is not democracy ni ufisadism"​
 
Nachukizwa nao, kujikweza mithili ya 'tumewapigia kura'...BIG NO
 
Just being curious .... hv huyu January alisoma Pugu Secondary??
Anaye jua anijuze ... what abt Jerry Slaa!!
 
unaonaje ukaongeza list ya SLAA, ndesa, lisu mbowe na picha za wake, wachumba na dada zao waliowapa mchongo wa ubunge ili kuipa uzito thread hii?
 
Msiwashangae watoto kufuata nyayo za baba zao kwani huyu January na mwenzie Ridhwani walizoea kulishwa mifupa na baba zao sasa nao wanaona afadhali wale NYAMA; ndiyo hayo mambo mnayaona ya January kuingia kichwa kichwa kuitetea Dowans eti anataka kutatua shida ya umeme!! Hawa watoto wasiwafanye wenzi wao wajinga hawawaoni, iko siku moja watakujafanyiziwa mabo mbaya wasipojirekebisha. Inabidi wasome alama za nyakati. Kumbukeni tu kuwa huyu January anajulikana kama gaidi wa mtandao [ cyber terrorist] huko marekani na siku akikanyaga mguu tu pale atakamatwa kufuatana na mashtaka aliyofunguliwa baada ya vitisho alivyomfanyia mtoto wa Rockerfeller mtadaoni!!
 
Just being curious .... hv huyu January alisoma Pugu Secondary??
Anaye jua anijuze ... what abt Jerry Slaa!!
Jerry silaa ni mtoto wa maafisa polisi wawili,sio mtoto wa fisadi kwa ninavyoijua familia yake baba yake anaitwa capt william silaa alikuwa rubani wa ndege za police,mama yake rose alikuwa afisa wa police japo ameshatangulia mbele za haki,ni mtoto wa 4 na wa mwisho ktk familia yao,kuna fredx,dr rose,capt solomon na mstahiki jerry.unaswali lingine ni kweli kasoma pugu kwao ni hapo pembeni mwa kambi la mabomu gmboto
 
Hao hawana tofauti na wale watotot wa Sadam Hussein. ambao mwisho wao haukuwa mzuri, wanaitwa akina nani vile?
 
Jerry silaa ni mtoto wa maafisa polisi wawili,sio mtoto wa fisadi kwa ninavyoijua familia yake baba yake anaitwa capt william silaa alikuwa rubani wa ndege za police,mama yake rose alikuwa afisa wa police japo ameshatangulia mbele za haki,ni mtoto wa 4 na wa mwisho ktk familia yao,kuna fredx,dr rose,capt solomon na mstahiki jerry.unaswali lingine ni kweli kasoma pugu kwao ni hapo pembeni mwa kambi la mabomu gmboto
Mi namjua huyu dogo katika hii familia.
Yeye ameamua kuchukua fani ya baba yake...aliingizwa kimagumashi kwenye helikopta za polisi hatimaye akaqualify...baadaye akaona hailipi kufanyia kazi huko akaamua kuingia kampuni ya Northen air ambako akawa anarusha ndege za aina ya Caravan....Hakuridhika pia, akachomokea Governments Flights, ambako yupo hadi sasa akiwa Co-Pilot wa Fokker-50!
 
mshaanza kuchambua familia za watu zisizowahusu utadhani familia zenu zimetulia kumbe hovyo tuu!
 
Hawa wote wanataka kurithishwa madaraka kama wafalme! kwani hamuwajui baadhi ya wakwere wanavyopenda ufalme.

KWA HAPA WAMEULA WA SHUYA, 2tapiga mmoja mmoja.
 
Hawa wote wanataka kurithishwa madaraka kama wafalme! kwani hamuwajui baadhi ya wakwere wanavyopenda ufalme.

KWA HAPA WAMEULA WA SHUYA, 2tapiga mmoja mmoja.

anza Kumpiga slaa alyempigia pande mchumbaake, then ndio uje kwa wanaokutwala! kudadadeki zako!
 
Just being curious .... hv huyu January alisoma Pugu Secondary??
Anaye jua anijuze ... what abt Jerry Slaa!!

Aliesoma Pugu ni Tuweni Makamba, then akaenda Loyola, inasemekana yuko USA kwa sasa, Jerry Slaa alisoma Pugu, halafu Jitegemee halafu UDSM
 
Hako ka Riz1 ndo kajizi kabisa! Kamenunua shares za BIGBON, IMMMA na nyumba kadhaa. Kameiba sana hela kupitia kilimo kwanza! yaani hakafai kabisa! Kasipojirekebisha nguvu ya umma inaweza kumfanyia kazi.
 
Tatizo lao moja hawaamini kama wange climb the ladder kwa nguvu zao wenyewe wangeweza kufika kufika kwenye destiny japo muda ungekuwa mrefu zaidi; kumbe ni rahisi mtu aliye pandishwa juu kuangushwa na yule wa chini kuliko wa juu kumshikilia kule kule juu kwa nguvu, Working against gravity! Maadamu wangetumia opportunity ya kuwa chini kwenye base kujenga kujaza udongo ndani ya shimo ambalo wengi wa mezama hadi kufika kule juu walipo waliowatangulia basi wangepunguza nguvu ya gravity kwani kupanda kwa kutumia ngazi ni rahisi kudondoka kuliko kupanda kwa kupunguza urefu wa shimo kwa kujaza udongo one step after the other!
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Tena nasikia Rizi anatumia pikipiki za ving'ora kama baba yake! Maytake.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom