Toa maoni yako juu ya wagombea hawa wa BAVICHA (Chadema) taifa

Niligundua muda mrefu kwamba watu wanaanzisha sana topic za Z. Kabwe na za kuponda CDM bila sababu za msingi, but this is too cheap! Shame on u!
 
Sasa hilo povu la nini?
Unisamehe kwani nimekosa nini?
ID yako kuwa na umri wa miaka mitano (hata ingekuwa mia) humu jamvini unadhani inamaanisha kuwa wewe ndo una akili nyingi kuliko yule aliyejiunga leo? Acheni mawazo ya kitoto hayo...Na usemi huu nimeusikia ukisambaa sana humu jamvini kwa siku kadhaa. Na hizo ndo fikra mgando.
Again,sijui una shida gani katika kuelewa.Hakuna mhali niliposema nina akili kuliko watu wote.Wewe ndiyo mwenye Fixed mind kama hizo.Thread au post zozote za speculations,Ramli au zisizo na tafiti kwa karne hii ya 21 ni za Kijinga na siogopi kusema.Najua lengo lako na unakotaka kuelekea,Have fun on your own buddy.Siwezi kusujudia ujinga ati kwa kuwa naogopa kuwa huu ni muda wa kampeni na hivyo itanigharimu.Sahau

Ben ipotezee hii thread,itakuharibia.Thats how i feel!

Thanks Annamaria,

Whenever you say the TRUTH, people who have always survived on LIES and DECEPTION will be calling you names.
 
Sasa hilo povu la nini?
Unisamehe kwani nimekosa nini?
ID yako kuwa na umri wa miaka mitano (hata ingekuwa mia) humu jamvini unadhani inamaanisha kuwa wewe ndo una akili nyingi kuliko yule aliyejiunga leo? Acheni mawazo ya kitoto hayo...Na usemi huu nimeusikia ukisambaa sana humu jamvini kwa siku kadhaa. Na hizo ndo fikra mgando.

Nakusapoti 100% mawazo yako juu ya suala la umri jamvini, mbona CCM ina umri mkubwa kuliko CHADEMA lakini ndo dah!. tia maji, tia maji.
 
Wakati wengine wana rumbana kuwa wenyeviti wa BAVICHA mgombea pekee wa nafasi hiyo DEOGRATIUS KISANDU inasadikika huenda akwa ndiye mshindi......wawooooooo KISANDU tunakutakia kumpindua KIKWETE bila kificho.

Mh Kisandu yupi, huyu wa Lushoto alokuwa akigombea ubunge jimbo la Lushoto mjini akapata kura 10?? mh kama ndo yeye kweli mimi ni chadema lakin hapo cna jibu.
 
Nakusapoti 100% mawazo yako juu ya suala la umri jamvini, mbona CCM ina umri mkubwa kuliko CHADEMA lakini ndo dah!. tia maji, tia maji.
Kwamex,
Huyo mkuu kwa sababu ya kiu yake ya upotoshaji au kutokuelewa nimeandika nini kaamua kupotosha tu.Arudie tena na tena kusoma nilichokuwa namaanaisha.Aache kuzua hisia za ajabu ajabu,eh!

Let him do credibility a favour na aje awaambie wanaJF amefikia vipi katika hizo conclussions zake,Najua hastakuja anyways!

Seriously I dont understand,what exactly is he/she trying to insuniate
 
mod huyu jamaa anakera sana na post zake, maana halisi ya great thinker inapotea ingekuwa vizuri kama ungempa kalikizo ka wiki 2
 
Mods mnafanya kazi ngumu sana,hata hivyo kuna threads zimeunganishwa hapa kwa watu watakaokuja baadae hawataelewa mtirirko wa hizi mada.Hawatajua kama ni thread tofauti zimeunganishwa.Otherwise keep up with the same spirit.Mnafanya kazi nzuri sana
 
ben naona umenipa kathanks, hii comment niliipost kwenye thread ya mwanahazali anayeitwa baba clara naona mod ameiunganisha na post yako, nadhani mod wangejaribu kuwa na kaaplication kanakoonesha mtu alireply ktk thread ya nani, vinginevyo inatuchanganya
 
Mkuu Narubongo,

Nililiona hilo ndiyo maana nikatoa hiyo post hapo juu.Otherwise thanks!
 
Ben leave it please!!!!!!!!

Comrade Grayson,

Thanks alot for the Advise Bro.Those with hard hearts don't want to agree with anything that clashes with their beliefs. They vehemently argue, even lie, in their bid to remain undisputed. It can be amusing to see sometimes though. And the worst part of it is that when they have nothing meaningful to stand on in claiming that they are the ones in the right, they resort to calling names and saying whatever (which they cannot prove otherwise) are nothing but lies. How amusing

However,nikiwaacha wanaweza kuwaaminisha watu otherwise.There are haters out there,there are some Doomy frantic politicians who use whatever at their disposal to discredit others politically for their wicked gains.if we ignore them because of their myopic thinking they engages their self in to.It will seem to them that they are in the right way

Otherwise thanks buddy i will take care of it
 
Back
Top Bottom