Wewe ndo unayataka makundi yaendelee baada ya uchaguzi. Ukweli ni kwamba hata kama ungegombea wewe na mwanao, makundi lazima yangekuwepo. Ni busara za Chama huhitaji kuyauwa makundi mara tu baada ya uchaguzi lasivyo yanaweza kuruga chama. CCM kulakuwa na makundi uchaguzi wa 1995 ambayo yaliuawa kwa busara za uongozi wa kipindi kile, 2005 napo kulikuwa na makundi ambayo yalishindwa kuuawa katika kipindi hicho na ndo yanayokitafuna Chama. Obama na Hillary Clinton walikuwa na makundi ndani ya Democratic, busara zilitumika kuyauwa ndo maana chama chao kiko imara. Naamini hata viopngozi wa Chadema watatumia busara kuyauwa haya makundi mara tu baada ya uchaguzi.
hatahivyo,kumaliza makundi sio rahisi kama unavyodhani hii inategemea uwezo wa kufikiri na busara za atakayeshinda.
dawa ni moja ambayo ni salama tu, kuwatupilia mbali hawa watu wawili, mm nawajua wanaweza kuwa wazuri, lakini kwa sababu ya makundi yao yaliyo wazi hii ndiyo dawa, ya kumaliza makelele.