Mama Brian
JF-Expert Member
- Feb 7, 2010
- 320
- 21
Asante sana Teamo kwa kutukumbusha, nadhani inawezekana kabisa kurevive na kuishi kama enzi za uchumba na marriage itaoneana kama paradise ndogo hapa duniani.
Cheer!
Cheer!
Well said my dada. Hebu angalia hii hapa chini:haki ya nani cjui mama matesha ndio mie, surprise za kutumia pesa nyingi hapana(hiyo hela c ungeenda kuwalipa wale vibarua shambani)...nimecheka mpaka kwikwi...nitajirekebishe saa japo niinjoi ka surprise jamani.
Asante sana Teamo kwa kutukumbusha, nadhani inawezekana kabisa kurevive na kuishi kama enzi za uchumba na marriage itaoneana kama paradise ndogo hapa duniani.
Cheer!
Hahahaha! Hommie hapo naona unataka kujipa nafasi ya "MWOKOZI WA NDOA":doh::doh:kwani mama Brian, vipi state ya huko kwako ikoje.......inahiyaji revival?
:A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking:
Hahahaha! Hommie hapo naona unataka kujipa nafasi ya "MWOKOZI WA NDOA":doh::doh:
Hehehehehe! Askofu yuko bize kwenye maungamo.naona 'mawazo mabaya' yameshakuingia mtafute baba Askofu akakupe upako ASAP:doh:
Ngoja nimtafute baba askofu aje achape injili hapo....:doh:hivi kuna WOKOVU mbaya?:bathbaby:
Kuna na hili la kupewa pesa ya kutumia isiyokuwa na ratiba maalum.....
Ikiwa unasuprise wife kwa kumpa pocket money nafikiri inasaidia mpenzi wako kuona unamjali. Hata Kama Ana mshahara mkubwa kiasi gani mpe pesa ya kununulia vitu vyako binafsi Mara moja moja uone atakavyo furahi
Hehehehehe! Askofu yuko bize kwenye maungamo.
Yanini malumbano?
Na kwa upende wa pili? Yaani kwanini wewe usimsuprise mmeo kwa kumkatia pochi akamimine ulabu na mabesti zake?Kuna na hili la kupewa pesa ya kutumia isiyokuwa na ratiba maalum.....
Ikiwa unasuprise wife kwa kumpa pocket money nafikiri inasaidia mpenzi wako kuona unamjali. Hata Kama Ana mshahara mkubwa kiasi gani mpe pesa ya kununulia vitu vyako binafsi Mara moja moja uone atakavyo furahi
Vipi mkuu... hili sio tusi?Umeshawahi kuwa vyote mkuu???
I warned him!Vipi mkuu... hili sio tusi?
:doh::doh:
Noted
:nono::nono:
adui mkubwa wa intimacy ni kudhania mwenzao ana-infidelitize aisee!!!! Maana hiyo ikikaa kichwa basi performance inakua imekwisha kazi si kwa mwanaume au mwanamke
Mwanaume ndio anapaswa kuhisi mkewe ni infidelee, mwanamke anapaswa kutambua na kukubali kuwa mmewe ni infidelator!!
Have I made my self clear (Samahani kwa kutumia kiswahili hapo)
Asante sana Teamo kwa kutukumbusha, nadhani inawezekana kabisa kurevive na kuishi kama enzi za uchumba na marriage itaoneana kama paradise ndogo hapa duniani.
Cheer!
Inategemea na malezi kwenye makuzi!!!Utoto tu mkuu... akikua ataacha
Mama Brian,
Uchumba utabaki kuwa uchumba. Hauwezi kurudi hata watu wakiamua kuishi kwa maigizo. Hata ukirudi, mimi nisingeutaka. Hauna uhalisia wowote. Ni muhimu kukubali kuwa huo muda ulishapita na sasa tushughulikie mambo halisi badala ya nadhaniria na njonzi za uchumba!