Timu zilizoongoza kwa mapato ya mlangoni 2020/21 Vpl na Fdl hizi hapa

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,336
Zione na uone utofauti ulivyo

FB_IMG_16323002207993337.jpg

FB_IMG_16323027556387309.jpg

FB_IMG_16323026716084349.jpg
 
Achana nae mshamba sana uyo na yule mwenzi OKWIBOBANSUNZU
Hivi mwezi huu nyie Makolo FC wa humu jf mmeandika maandiko mangapi mabaya dhidi ya Yanga halafu unasema wanayanga ndo wanashindana...sio nyie ndo mnashindana na hii timu kubwa?

Sasa kama hapa na hizi takwimu unataka kubisha pia...NI UZUNI KWAKWELI
 
Nyinyi mko juu zaidi ya Simba kwenye takwimu za Yanga na Simba.
Yanga ndo timu ya kwanza kutolewa cafcl bila kufunga hata goli moja tena hatua za awali.
 
Hayo ni mapato, wala si idadi ya watazamaji. Kumbuka viingilio vinatofautiana kulingana na lengo la timu husika, Timu A inaweza ikaweka kiingilio cha chini sh. 3,000/= na timu B ikaweka sh. 5,000/=. Timu A wakiingia washabiki 1000 itapata sh. 3,000,000/= na timu B wakiingia mashabiki 700, itapata sh. 3,500,000/= Timu B itaonekana ina mapato mengi (sh. 3.5M) lakini imeingiza mashabiki wachache (700).

NB: Nimesema inategemeana na parameters nyingine
 
Back
Top Bottom