Timiza tendo la ndoa

USICHEZE-CHEZE NA TENDO LA NDOA.

Kuna tofauti kubwa baina ya mwanamke na mwanamue wanapokuwa katika tendo la ndoa.

MWANAMKE:

1) Aibu huongezeka

2) Nguvu za mwili humuishia na mwili hulegea

3) Uwezo wa kufikiria huongezeka na kufika (to the maximum).

MWANAUME:

1) Aibu hutoweka kabisa

2) Nguvu za mwili huongezeka

3) Uwezo wa kufikiria(IQ) hushuka na kufikia zero! (hasa anapokuwa kileleni). Katika hayo kuna mambo tunajifunza:

a) Kumbe ndio maana Biblia inasema (mwanamume) aziniye na mwanamke hana akili kabisa; kwa sababu kimaumbile na kisaikolojia uwezo wa kufikiri hutoweka!

b) Kama mwanamke anakuwa na uwezo mkubwa wa kufikiria (to the maximum) na mwanamume akili na uwezo wa kufikiria vinashuka (to zero), bila shaka unaweza ukatambua kwa nini Samson “asingesalimika” kwa namna yeyote ile mbele ya Delila!

Nadhani wanaume tunapata somo letu hapa; “Mwanamke unaempa mwili wako kupitia tendo la ndoa, ikiwa ana nia mbaya ni rahisi mno kukumaliza kiulaini”. Katikati ya tendo hili (akili yako inapokuwa sifuri) unaweza kujikuta unakabidhi mshahara wote!

Unaweza kujikuta unaahidi kumnunulia gari wakati hata pikipiki imekushinda! Unaweza kuikana familia yako mchana kweupe! Na asikwambie mtu; “Ahadi unazozitoa katikati ya tendo hili zina nguvu kubwa kuanzia ulimwengu wa roho hadi katika fikra.

Ndio maana ukidakwa na ukajikuta umeropoka ahadi, ujue huo ni msala na hilo litakuganda mpaka ujute!”. Pengine la muhimu (kwa wote) ni kujitahidi kuheshimu miili yetu na inapotolewa kutumika basi iwe ni “sadaka ya amani na haki” kwa wale wa halali na wanaostahili
IQ uliotumia n kubwa na ulicho post n cha kwel!!!
 
Kuna haja ya kutumia huo u maximum reasoning wa wanawake wanapo kuwa hapo kwenye hio stage may be tuna weza solve matatizo kibao ya kiuchumi, ki jamii nk
Na hata ugunduzi.."(maana wana akili nyingi a u sio)"
 
Ni kweli kabisa wanafikiria to the maximum ndo maana baada ya show utaulizwa "bby ulivaa jezi?"
 
Wadau humu mnapenda sana kubisha na mnaotaka refference someni ki-ufasaha vitabu vyenu vya Imani zenu.

Mkae chini mjifunze, sio lazima mujifunze saaana kama viongozi wenu wa kiroho, ila kuna yale ya msingi utayafahamu likiwemo hilo la mleta maada.

Mjifunze jamani, siyo kila kitu ni lazima kuwekwa refference, vyengine vipo tu na vinajulikana, hata hayo aliyoyataja mleta uzi huu, yamo katika Biblia.

Nami namalizia kwa kuwaambia, hakuna dhambi ambayo Mungu, anaichukia na anachukua muda mrefu sana kukusamehe, kama Zinaa. Na ukiusoma mstari huu nitakaokupa kwa makini utagundua, Mungu anaweza kukusamehe dhambi hiyo, ila madhara yake ni juu yako, yeye ahusiki nayo.
- Ezekieli 24:13-14
-Warumi 13:11-14

Kwenda pamoja na mleta uzi, someni - Yeremia 31:22 Mwanamke kapewa mamlaka ya kumlinda mumewe.

Ahsante!
 
Tatizo ninaloliona kwa upeo wangu ni, watu wanapenda sana kuhalalisha zinaa, yaani hata wewe hapo, hebu soma majibu na maoni ya watu humu, utajionea mwenyewe.

Kuna wakati inatakiwa tujikumbushe Ukuu wake Mungu, hata kama hili jukwaa ni kwa masuala yanayoendana na hayo ya zinaa zinaa tu - (Japo kwa asilimia kubwa, kuna mazuri ya kujifunza humu, kama uzi huu tunaouchangia)

Ahsante!
 
Wadau humu mnapenda sana kubisha na mnaotaka refference someni ki-ufasaha vitabu vyenu vya Imani zenu.

Mkae chini mjifunze, sio lazima mujifunze saaana kama viongozi wenu wa kiroho, ila kuna yale ya msingi utayafahamu likiwemo hilo la mleta maada.

Mjifunze jamani, siyo kila kitu ni lazima kuwekwa refference, vyengine vipo tu na vinajulikana, hata hayo aliyoyataja mleta uzi huu, yamo katika Biblia.

Nami namalizia kwa kuwaambia, hakuna dhambi ambayo Mungu, anaichukia na anachukua muda mrefu sana kukusamehe, kama Zinaa. Na ukiusoma mstari huu nitakaokupa kwa makini utagundua, Mungu anaweza kukusamehe dhambi hiyo, ila madhara yake ni juu yako, yeye ahusiki nayo.
- Ezekieli 24:13-14
-Warumi 13:11-14

Kwenda pamoja na mleta uzi, someni - Yeremia 31:22 Mwanamke kapewa mamlaka ya kumlinda mumewe.

Ahsante!
Ahsante kk nashukuru kw neno lako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom