Time Frame-Visa ya Marekani

Quemu

JF-Expert Member
Jun 27, 2007
984
128
Hivi inachukua muda gani kupata visa ya Marekani, kwa mtu anayekwenda huko mara ya kwanza? Toka kutuma maombi, kwenda kwenye interview, mpaka kuja kupata (provided docs. zote ziko sawa na hamna kizingiti chochote)?

Na ukishapata, ni dirisha la siku ngapi unapewa kuitumia kabla haija expire (kama huwa ina expire)?
 
Specifics please,

Visa ya aina gani, etc etc
 
Typical Wait Time (Calendar Days*) for a Nonimmigrant Visa Interview Appointment

Visitors Visas: 2 Days
Student/Exchange Visitors Visas *** (Excludes: A, G, K, and V): 2 Days
All Other Nonimmigrant Visas: 2 Days

Typical Wait Time (Workdays**) for a Nonimmigrant Visa To Be Processed****: 1 Day
 
Kang - haya maelezo umeyatoa kwenye website ya ubalozi wa Marekani Tanzania?

Kama ni ndio, je wanafuata hiyo time frame au huwa kunakuwa na mizengwe inayochelewesha utoaji wa visa?
 
The operating word is typical, they can always find a way to make your case non-typical which makes that information almost useless even if it is official.

On top of that nasikia kuna foleni kama wanagawa pesa, is this still the case? If yes, how typical can that be?

Worse, they reserve the right to deny with no explanation.
 
Somo,
Umeomba niwe specific! Naomba nawe huwe hivyo basi.

Kwa kawaida ni muda gani inachukua ku-process hiyo visa (assume kila kitu kiko fresh)?
 
The operating word is typical, they can always find a way to make your case non-typical which makes that information almost useless even if it is official.

On top of that nasikia kuna foleni kama wanagawa pesa, is this still the case? If yes, how typical can that be?

Worse, they reserve the right to deny with no explanation.

Halafu watu wakinyimwa wanalia lia kama vile ni haki yao......
 
Kang - haya maelezo umeyatoa kwenye website ya ubalozi wa Marekani Tanzania?

Kama ni ndio, je wanafuata hiyo time frame au huwa kunakuwa na mizengwe inayochelewesha utoaji wa visa?

Ya nimetoa kwenye website yao, kama ukitimiza masharti sidhani kama kutakua na mizengwe, peleka walichokuambia and nothing less/more kuna watu wanapeleka mafaili kibao ambayo hakuna aliyewaomba. Uzuri wa wenzetu ni watu wa procedures/processes/policy/etc.

Unaweka apointment online kabla ya kwenda so sidhani kama foleni ni tatizo, anyway be prepared kuipoteza hiyo siku nzima(Sijawahi kwenda wa bongo).
 
kama si haki yao mbona wao wanalilia kuja kwetu?.... na wewe mbona uko huko???????

Hawaji kwenu kuzamia na hata kama wakija hawatakosa wala kupungukiwa chochote. Mimi niko so what...sikunyimwa visa mimi kwani kila kitu kilikuwa mswano. Niliipata baada ya nusu saa tu!!!!
 
Nyani Ngabu
Nyani Ngabu is Gettin' that Arab money
JF Senior Expert Member Join Date: Mon May 2006
Location: Inside the Perimeter
Posts: 6,912
Rep Power: 36

Thanks: 892
Thanked 2,304 Times in 1,459 Posts
Credits: 6,184,689

Re: Time Frame-Visa ya Marekani

--------------------------------------------------------------------------------

Quote:
Originally Posted by Mchukia Fisadi
kama si haki yao mbona wao wanalilia kuja kwetu?.... na wewe mbona uko huko???????

Hawaji kwenu kuzamia na hata kama wakija hawatakosa wala kupungukiwa chochote. Mimi niko so what...sikunyimwa visa mimi kwani kila kitu kilikuwa mswano. Niliipata baada ya nusu saa tu!!!!
__________________

NAKURUDI SIKU UKIFA?????????????
 
Nimewahi kuona mama mtu mzima analia at the embassy after being denied a visa. Nilimuonea huruma kweli since she apparently wanted to go join her husband or something along those lines. Pia nikajionea huruma na mimi kama mwafrika. Somehow, what we are being put through (or putting ourselves through) is worse than slavery. Kisha these imbeciles (not all) we elect year in year out are really doing nothing to raise the integrity of African people. Ndio maana I dont entertain politics maana nitapata ulcer bure. Sorry for going off topic.

Anyway, mimi si mtaalam but I would advise to book the earliest appointment which I think is around 8.00am halafu kufika by say 7.00am because they have security checks and what not. I think one should get the visa in the afternoon if everthing is in order. Also, its wise to use the checklist of required documents they have online.
 
Hawaji kwenu kuzamia na hata kama wakija hawatakosa wala kupungukiwa chochote. Mimi niko so what...sikunyimwa visa mimi kwani kila kitu kilikuwa mswano. Niliipata baada ya nusu saa tu!!!!

Nyani unabalaa, mara tu unalenga shabaha...
Heri ya mwaka mpya mazee!
 
Hata watu wa nchi nyingine nyingi tu wanaitaji visa kuja Tanzania, hivyo nao ni kupanga foleni kupata visa ya kuja Tanzania. Hivyo ni bora mtu kurespect nchi na mahitaji yao.

Cha muhimu ni kujua pia kujieleza, na nchi nyingi zinazoongea English kama 1st language wanapenda mtu ajue lugha pia hata kuelewa mtu anakuambia nini katika maneno ya kila wakati.

Jua form uliyoijaza ndani nje, as wengi wanaandika na wanategemea basi ndio hivyo ni kama interview ya kazi mtu anaandika CV wakati wa maswali hajui kujieleza hata vipangala alivyoandika kwenye CV.

Ni kama visa wengi wanasaidiwa kujaza wanakimbiza kusubmit form bila kukaa chini kuisoma na kujua walichoandika.

Kila kitu unachopeleka wewe kisome ujue as ukiulizwa ujue, pia chochote kingine kinachoendana na ombi lako.

Haya unaenda kutembea, lazima uonyeshe kuna kitu cha kukurudisha wakati fulani. Na kuonyesha kuwa unajiweza kujiangalia unaposafiri hata kama utasema unategemea watu unaoenda kuwatembelea lazima nawe ujiboost itasaidia.

usisite site eti unajibu ili then unabadilisha jibu hapo hapo toa moja, labda ukiulizwa

CHA MUHIMU JIBU UNACHOULIZWA

SIO KUULIZWA SWALI UNAANZA KUJIELEZA NA MAMBO AMBAYO HUJAULIZWA AMBAYO YANALETA MASWALI MENGINE THEN UNASHINDWA JIBU THEN UNABATUA

JIBU UNACHOULIZWA NA SUBIRI WAKUULIZE SWALI

KUMBUKA UNAWEZA KUWA NA MAMBO YOTE WANAYOTAKA THEN UKAWA HUJUI KUJIELEZA.
 
Hivi inachukua muda gani kupata visa ya Marekani, kwa mtu anayekwenda huko mara ya kwanza? Toka kutuma maombi, kwenda kwenye interview, mpaka kuja kupata (provided docs. zote ziko sawa na hamna kizingiti chochote)?

Na ukishapata, ni dirisha la siku ngapi unapewa kuitumia kabla haija expire (kama huwa ina expire)?

Fungua website yao kwa maeleza ya undani.

Applying for a Visa at the US Embassy in Tanzania

GOOD LUCK
 
The operating word is typical, they can always find a way to make your case non-typical which makes that information almost useless even if it is official.

On top of that nasikia kuna foleni kama wanagawa pesa, is this still the case? If yes, how typical can that be?

Worse, they reserve the right to deny with no explanation.

Visa ya Russia na China kuna foleni za kufa mtu
 
Hata watu wa nchi nyingine nyingi tu wanaitaji visa kuja Tanzania, hivyo nao ni kupanga foleni kupata visa ya kuja Tanzania. Hivyo ni bora mtu kurespect nchi na mahitaji yao.

Cha muhimu ni kujua pia kujieleza, na nchi nyingi zinazoongea English kama 1st language wanapenda mtu ajue lugha pia hata kuelewa mtu anakuambia nini katika maneno ya kila wakati.

Jua form uliyoijaza ndani nje, as wengi wanaandika na wanategemea basi ndio hivyo ni kama interview ya kazi mtu anaandika CV wakati wa maswali hajui kujieleza hata vipangala alivyoandika kwenye CV.

Ni kama visa wengi wanasaidiwa kujaza wanakimbiza kusubmit form bila kukaa chini kuisoma na kujua walichoandika.

Kila kitu unachopeleka wewe kisome ujue as ukiulizwa ujue, pia chochote kingine kinachoendana na ombi lako.

Haya unaenda kutembea, lazima uonyeshe kuna kitu cha kukurudisha wakati fulani. Na kuonyesha kuwa unajiweza kujiangalia unaposafiri hata kama utasema unategemea watu unaoenda kuwatembelea lazima nawe ujiboost itasaidia.

usisite site eti unajibu ili then unabadilisha jibu hapo hapo toa moja, labda ukiulizwa

CHA MUHIMU JIBU UNACHOULIZWA

SIO KUULIZWA SWALI UNAANZA KUJIELEZA NA MAMBO AMBAYO HUJAULIZWA AMBAYO YANALETA MASWALI MENGINE THEN UNASHINDWA JIBU THEN UNABATUA

JIBU UNACHOULIZWA NA SUBIRI WAKUULIZE SWALI

KUMBUKA UNAWEZA KUWA NA MAMBO YOTE WANAYOTAKA THEN UKAWA HUJUI KUJIELEZA.

Dayuum!!

Coco at her best!!!!
 
Back
Top Bottom