He jamani, hii ni ya wapi tena?
OMG. its my first to hear this!
Imeandikw\a wapi hii MkamaP?
Mkuu hiyo ndo maana yake, unaweza kuisikia mara ya kwanza na ikawa ukweli na ulizozisikia mara nyingi zwenda zikawa uongo.
Katafute Biblia original waliyoitafasri ktk lugha tofautitofauti, lugha nyingi hazina neno hilo lilo ktk lugha ya kigiriki na huwa wanajaribu kuli-genalize ktk lugha nyingi zinazotumika.
Lakini hata ukifuatilia Bible ya kiswahili kwa makini utagundua uzinzi na kuzini ni maneno mawili tofauti.
Mfano.
Mtu asimwache mke/mme isipokuwa kwa uzinzi Na anayemwacha mke/mme kwa sababu yoyote nyingine na kwenda kuchukua mke/mme mwingine watu hao wanazini.