Till Death Do Us Part!...Wanapendeza Hawa!

He jamani, hii ni ya wapi tena?
OMG. its my first to hear this!
Imeandikw\a wapi hii MkamaP?

Mkuu hiyo ndo maana yake, unaweza kuisikia mara ya kwanza na ikawa ukweli na ulizozisikia mara nyingi zwenda zikawa uongo.

Katafute Biblia original waliyoitafasri ktk lugha tofautitofauti, lugha nyingi hazina neno hilo lilo ktk lugha ya kigiriki na huwa wanajaribu kuli-genalize ktk lugha nyingi zinazotumika.

Lakini hata ukifuatilia Bible ya kiswahili kwa makini utagundua uzinzi na kuzini ni maneno mawili tofauti.
Mfano.
Mtu asimwache mke/mme isipokuwa kwa uzinzi Na anayemwacha mke/mme kwa sababu yoyote nyingine na kwenda kuchukua mke/mme mwingine watu hao wanazini.
 
Mkuu PakaJ
Ukitaka kuona uasherati/uzinzi ni tofauti. Nanukuu wakoritho 1 6:9-10
" Au hamjui wadhalimu hawataurithi ufalme wa wa Mungu? Msidaganyike; waasherati hawataulithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi ,wala wafiraji, wala walawiti, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi".

Sasa swali mkuu kwa nini uasherati na uzinzi utajwe mara mbili kama ni kitu kilekile? Hakika uasherati na uzinzi si kitu kimoja ni vitu viwili tofauti ila tendo linalofanyika linafanana.
 
Maskini Fidel...
 
Tofauti kati ya UASHERATI NA UZINZI ni hivi:

UASHERATI ni kufanya tendo la ndoa kwa watu wasioolewa au kuoa.
UZINZI ni kufanya tendo la ndoa NJE YA NDOA kwa watu waliooa na kuolewa!
ELEWA HIVYO MKAMAP na usitunge maana zako!
 
Sawa.
 
Big up Injinia, naona huyu Masanja amepotoka kidogo. Huyu Mama Machel alikuwa mjane katika umri mdogo, na lazima maisha yaendelee na si vibaya kwake kuolewa na anayempenda. Kumbuka Mama Jacquline Keneddy, katika umri wake mdogo, baada ya kufa mmewe alikuja olewa na Onasis. Kwa watu wazima kama Mama Nyerere tukisikia wameolewa tena ndipo twaweza hoji, huyu bibi vipi. Lakini kwa vijana wanaopoteza wenzi wao kwa mapenzi ya Mungu, acha wawe huru kuolewa maisha yaendelee. Masanja, badili mtazamo ndugu yangu, hii ni karne ya 21.

Mama Mdogo, mbona Mandela naye kaoa akiwa mzee sana? 80 yrs?
 
Tofauti kati ya UASHERATI NA UZINZI ni hivi:

UASHERATI ni kufanya tendo la ndoa kwa watu wasioolewa au kuoa.
UZINZI ni kufanya tendo la ndoa NJE YA NDOA kwa watu waliooa na kuolewa!
ELEWA HIVYO MKAMAP na usitunge maana zako!

Nafikiri si kweli
Nenda kasome tena vifungu vinasema mtu asipomwacha mke wake kwa uzinzi na kaenda kuoa mwanamke mwingine mtu huyu anafanya uashareti.

Kwa maana hiyo huyu mtu tayari alikuwa na mke na kaenda kwa mwingine anafanya uashareti na si uzinzi. defination yako inakuwa imeshakataa moja kwa moja.

NEnda kaulizie watu wanaojuwa kilatini na kigiriki, hakika watakwambia ninayokuambia.
 
Hata mimi ndivyo ninavyoelewa!! Uasherati ni baina ya watu ambao hawajafunga ndoa na uzinzi ni wanandoa wanaotoka nje ya ndoa zao
 
Nafikiri si kweli
Nenda kasome tena vifungu vinasema mtu asipomwacha mke wake kwa uzinzi na kaenda kuoa mwanamke mwingine mtu huyu anafanya uashareti.

Kwa maana hiyo huyu mtu tayari alikuwa na mke na kaenda kwa mwingine anafanya uashareti na si uzinzi. defination yako inakuwa imeshakataa moja kwa moja.

NEnda kaulizie watu wanaojuwa kilatini na kigiriki, hakika watakwambia ninayokuambia.

Ukimwacha mke wako kwa talaka kwa sababu nyingine tofauti na uzinzi ukaenda kuoa mke mwingine unafanya uasherati. Ingawa utakuwa umefunga ndoa ya pili kisheria kwa Mungu haitambuliki na utakuwa kama mtu ambaye hajaoa anayefanya tendo la ndoa.
 
Ndio mzee
tuzidi kuelimishana.
Umeona hapo juu ktk maelezo yako mtu kaacha mke ina maana kwa Mungu bado anatabuwa ndoa ya kwanza na kaenda kuoa mwingine, kwanini basi mtu huyu isiwe ana zinzi maana tayari ana ndoa ya kwanza na ni mwanandoa na kaenda kwa mwingine ambayo Mungu haitambui kaenda huko kufanya uzinifu badala ya uzinzi? sijui umenielewa ninachotaka kusema.?

Kumbuka
Tunacho tafuta hapa ni tofauti kati ya kuzini/uasherati na uzinzi.
Kutoka chanzo cha uhakika Uzinzi unaoongelewa ktk Biblia kwamba ndoa inaruhusiwa kuvunjwa ni pale tu kuna uzinzi yani watu wameoana wa damu moja. Na hii damu moja inakoma baada ya uzao wa tatu.
 
tofauti kati ya uasherati na uzinzi ni hivi:

uasherati ni kufanya tendo la ndoa kwa watu wasioolewa au kuoa.
uzinzi ni kufanya tendo la ndoa nje ya ndoa kwa watu waliooa na kuolewa!
elewa hivyo mkamap na usitunge maana zako!
hii ni tafasiri sawa kabisa
 
hii ni tafasiri sawa kabisa

Yawezekana ni sahihi ,lakini jaribu kuifuatilia kwa makini.

Mfano mtu atayeacha mke/ hapa inamaana kaoa na kaenda kuoa mke mwingine mtu huyu azini kwanini?????

Mie naomba umtafute mtu anayeongea kigiriki na ki latini.
 
Mkama P ,naomba kutofautiana nawe.Si kweli kuwa uzinzi ni ngono kati ya watu wenye uhusiano wa damu.
neno uzinzi katika kigriki cha awali kilichotumika kuandika biblia ni PORNEIA.Nomino hii PORNEIA ambayo inatafsiriwa UZINZI ina maana pana ikitia ndani Ngono nje ya ndoa,oral sex,anal sex{na hii ni hata kwa wanandoa},ngono na wanyama,hata kupiga punyeto.
Ninawakilisha.I STAND TO BE CORRECTED
 
I like the couple especially.... Comr. Machel (RIP). Lakini sioni kwa nini swala la kuolewa mara mbili kwa huyu mama liwe big deal. I wouldnt encourage it to anybody either.

Unajua at times I wonder na hawa wasomi wetu na activist wetu wa human rights. Mama MACHEL HAPA ANAPONGEZWA ETI ALIKUWA FIRST LADY WA NCHI MBILI. Yet, tuko mstari wa mbele kupinga/discourage akina mama/baba kuolewa/kuoa mara ya pili. In otherwords, we encourage them to stay put and take care/support their families. Au huyu kwa vile aliolewa na ma-rais ndo inabidi awe treated kwa different standards? Angekuwa shangazi yangu wa kijijini I am sure..wa human rights tungekuwa mstari wa mbele..kulaumu uvunjaji wa haki za binadamu....Talk of double standards!

Na tusitake kudanganya hapa. Mandela kumuoa huyu mama hawezi kutwambia eti morally alikuwa above repproach! Huyu mzee, namzimia sana for the struggle of African`s dignity, lakini kitendo cha kumdump mke wake aliyemvumilia miaka yote hiyo gerezani...sioni kwamba ni mfano wa kuigwa. After all, Mandela is just a mortal man..so I cant fault him. Only napinga kuona watu wanataka kutuaminisha kwamba Graca Machel kuolewa na Mandela was something extra ordinary. I would rather say..ilikuwa ni..typical waafrika tulivyo......Heard of Zuma and his wives?

We got a long way to convince the skeptics about these human rights business and equality.

We masanja nyamaza kabisaaaaa,
Huyu mama ana kosa gani? kuolewa mara ya pili? kwana aliitaliki ndoa yake? ni haki yake kabisa kuolewa. Tena alifuatwa na Mandela, siyo kwamba alituma maombi yeye kuwa 1st lady kwa mara ya pili.

Mbona waume wengi mnaoa wake wengine na hali wakezenu wangali hai!! respect mkuu.

Mkama P ,naomba kutofautiana nawe.Si kweli kuwa uzinzi ni ngono kati ya watu wenye uhusiano wa damu.
neno uzinzi katika kigriki cha awali kilichotumika kuandika biblia ni PORNEIA.Nomino hii PORNEIA ambayo inatafsiriwa UZINZI ina maana pana ikitia ndani Ngono nje ya ndoa,oral sex,anal sex{na hii ni hata kwa wanandoa},ngono na wanyama,hata kupiga punyeto.
Ninawakilisha.I STAND TO BE CORRECTED

Mimi naomba tulifoward hili swali kwa wajuzi wa lugha hizi na kiswahili ,kuna kipindi cha radio maria kuna father kutokea songea huwa anajibu maswali vizuri sana.Naomba tumuulize na hata kama yupo mwingine naomba tuulize.
 
Mkama P ,naomba kutofautiana nawe.Si kweli kuwa uzinzi ni ngono kati ya watu wenye uhusiano wa damu.
neno uzinzi katika kigriki cha awali kilichotumika kuandika biblia ni PORNEIA.Nomino hii PORNEIA ambayo inatafsiriwa UZINZI ina maana pana ikitia ndani Ngono nje ya ndoa,oral sex,anal sex{na hii ni hata kwa wanandoa},ngono na wanyama,hata kupiga punyeto.
Ninawakilisha.I STAND TO BE CORRECTED

Huu mjadala hata ugaibuni uko hivi

Best Answer - Chosen by Voters

Here is an interesting website:
http://www.gerrior.net/Resources/SexAndT…

The standard translations of porneia focus on the sexual activity, but I think there is enough evidence to conclude that the problems associated with porneia were not basically sexual in nature, but were associated with worship of other gods, specifically the use of temple prostitutes in worship. I'm not a Greek specialist, but I object to the blanket use of the word "fornication" to translate porneia. "Fornication" is a meaningless word in English because you can use it to cover any old thing that you object to, including masturbation, adultery, lust, prostitution, dressing provacatively, etc. It just doesn't have any kind of a precise meaning in English.

Did porneia mean some kind of illicit sexual activity? Yes, the evidence is strong. The question is how broad a list do you want to construct. The Bible is clear that porneia at least covers going to a temple prostitute (male or female). Other expansions of the meaning of porneia are not well supported in the Biblical text or the Biblical context in my humble opinion.
Source(s):
I read Greek and Hebrew and have been a Christian and student of the Biblical texts for most of 50 years.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom