Jayfour_King
JF-Expert Member
- Nov 15, 2009
- 1,135
- 128
Ni kweli kwamba baada ya rais wa nchi yoyote kuapishwa suala la mkewe linakuwa la kitaifa (FL, kama wa JF) lakini pia isisahaulike kwamba suala hili lilianza kama suala la binafsi. Hivyo Mzee Mandela kuwa kiongozi hakumuondolei nafasi yake ya kuudhiwa katika maisha yake ya ndoa.I like the couple especially.... Comr. Machel (RIP). Lakini sioni kwa nini swala la kuolewa mara mbili kwa huyu mama liwe big deal. I wouldnt encourage it to anybody either.
Unajua at times I wonder na hawa wasomi wetu na activist wetu wa human rights. Mama MACHEL HAPA ANAPONGEZWA ETI ALIKUWA FIRST LADY WA NCHI MBILI. Yet, tuko mstari wa mbele kupinga/discourage akina mama/baba kuolewa/kuoa mara ya pili. In otherwords, we encourage them to stay put and take care/support their families. Au huyu kwa vile aliolewa na ma-rais ndo inabidi awe treated kwa different standards? Angekuwa shangazi yangu wa kijijini I am sure..wa human rights tungekuwa mstari wa mbele..kulaumu uvunjaji wa haki za binadamu....Talk of double standards!
Na tusitake kudanganya hapa. Mandela kumuoa huyu mama hawezi kutwambia eti morally alikuwa above repproach! Huyu mzee, namzimia sana for the struggle of African`s dignity, lakini kitendo cha kumdump mke wake aliyemvumilia miaka yote hiyo gerezani...sioni kwamba ni mfano wa kuigwa. After all, Mandela is just a mortal man..so I cant fault him. Only napinga kuona watu wanataka kutuaminisha kwamba Graca Machel kuolewa na Mandela was something extra ordinary. I would rather say..ilikuwa ni..typical waafrika tulivyo......Heard of Zuma and his wives?
We got a long way to convince the skeptics about these human rights business and equality.
Inasemekana kwamba mama yetu Winnie wakati mzee akiwa lupango alikuwa anatumika na vijana na nadhani ilikuwa katika hali isiyojificha na hivyo kushusha hadhi ya mzee. Hivyo hizi hukumu zingine tuwe tunapunguza ubinafsi na ushabiki. Maisha ya ndoa yana misingi yake na itabaki hivyo bila kujali kama mama ni FL au mama wa kawaida kijijini.