TikTok inagaragaza YouTube iliyokuwa ikisumbua kwa miaka mingi

Kati ya TikTok na YouTube nani analipia zaidi creators??

Video za dk 1 short form zinakuaje sustainable, unawekaje ads??

Akili mtu wangu
TikTok alipo sipo anajipanua kila siku alianza na video fupi sasa kaongeza ndefu kwahiyo tegemea mabadiliko makubwa sana, ndo kwanza mbichi ipe mwaka mmoja tena uone maajabu, msanii akitoa video anaanzia kwanza TikTok baadae huyo kwenye Itube sijui YouTube
 
TikTok imekuja kummaliza kabisa YouTube aliyekuwa akisumbua kwa miaka mingi. YouTube hana mvuto kwasasa kila simu ya kijana anayefahamu nini maana ya utandawazi basi ana App ya TikTok kwenye simu yake.

Wengi wanajitahidi ku Uninstall App ya YouTube ila bahati mbaya inakuja Pre Installed kwenye simu za Android isingekuwa hivyo basi YouTube ingeshafutwa kwenye simu za vijana wengi.

YouTube ni mbovu kwenye impression haiwezi kusukuma video za Creators kwa watazamaji automatically mpaka promotion itumike wakati TikTok inapeleka content mbele ya watazamaji automatically ilimradi uwe na content nzuri.

TikTok kusumbuliwa Marekani kwamba itazuiwa hiyo ni njama ya YouTube kutaka kumng'oa kwasababu ya yeye kupoteza mvuto sokoni hapendwi tena.

Natabiri kifo cha YouTube kwa siku zijazo hilo halina ubishi TikTok akitaka kummaliza kabisa YouTube aruhusu Video za mpaka lisaa limoja au zaidi pia aboreshe mfumo wa malipo makubwa kwa Creators hapo YouTube atakufa kabisa.
Twitter naye yupo kwenye mpango wa kummaliza YouTube kwa kuruhusu Video ndefu.
Nilishafuta youtube. Video ya dkk 30 youtube naicheki tiktok kwa dkk 2 na napata content ile ile nilikua nahitaji.
image_cd90eb79-41f7-4783-afe2-434424783b7e20221124_104723.jpg
 
TikTok alipo sipo anajipanua kila siku alianza na video fupi sasa kaongeza ndefu kwahiyo tegemea mabadiliko makubwa sana, ndo kwanza mbichi ipe mwaka mmoja tena uone maajabu, msanii akitoa video anaanzia kwanza TikTok baadae huyo kwenye Itube sijui YouTube
TikTok anavorefusha video length anamcopy YouTube..... Hawezi fanikiwa kwasabu YouTube amesha monopolize longform content......

Hivyo hivyo YouTube ameshindwa kumcopy TikTok kwasabu TikTok ame monopolize short form....

Hakuna mwanamziki yeyote anatumia TikTok kustream miziki yake, wanafanyia tu promotion....
Youtube wana streaming service..

TikTok ni kampuni ya kichina inatumika na serikali ya huko kuiba data za watu kwenye nchi zilizoendelea.....ndio maana nchi zilizoendelea wanaipiga vikwazo....

All odds are in YouTube's favour, short form content is not sustainable for both creators, and platforms
 
Nikuifanyia tu figisu lakini inawakomesha
 
Mimi situmii sana tiktok, lakini naomba niseme ni moja kati ya mtandao unaokuja kwa kasi hivyo kuwa mshindani namba 1 wa youtube.

Kwa sasa hawajaifikia youtube, lakini hiyo haiondoi ukweli kwamba ni threat namba 1 wa youtube, ndiyo maana Marekani wanaipiga vita ili kumuokoa youtube ambayo ni ya Mmarekani.

Marekani ndivyo alivyo, kumbuka hata Huawei alifanyiwa figisu baada ya kuonekana ni threat kwa Iphone/Apple. Ni mbinu za kijasusi za Mmarekani ili kuokoa makampuni yao yanayopata ushindani mkali kutoka kwa Wachina.

Hivyo wote mnaoibeza tiktok kaeni mkijua ni kweli inaleta threat kwa usitawi wa youtube.
 
Siipendi au siifungui sana ksbb ukitaka upigwe na bandle lako basi we zama Tik tok. Najiunga bandle la 2100 kwa Airtel la wiki au 3000 kwa voda siku 14. Japo kwa siku hizi zote hazifiki kwenye siku husika,lakini ukirogwa tu kuzama Tik tok mamamamamaaaama,utapigwa ndani ya dakika 5,7,10 bandle la wiki 2 nitolee kwa hizi dakika. Hawana habari na mtu hao
 
Lakini unaburudika sana TikTok
 
Mimi situmii sana tiktok, lakini naomba niseme ni moja kati ya mtandao unaokuja kwa kasi hivyo kuwa mshindani namba 1 wa youtube.

Kwa sasa hawajaifikia youtube, lakini hiyo haiondoi ukweli kwamba ni threat namba 1 wa youtube, ndiyo maana Marekani wanaipiga vita ili kumuokoa youtube ambayo ni ya Mmarekani.

Marekani ndivyo alivyo, kumbuka hata Huawei alifanyiwa figisu baada ya kuonekana ni threat kwa Iphone/Apple. Ni mbinu za kijasusi za Mmarekani ili kuokoa makampuni yao yanayopata ushindani mkali kutoka kwa Wachina.

Hivyo wote mnaoibeza tiktok kaeni mkijua ni kweli inaleta threat kwa usitawi wa youtube.
Sana TikTok ni ukimwi kwa YouTube
 
Back
Top Bottom