๐—ง๐—ถ๐—ด๐—ผ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐˜๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—ป๐—ผ๐—บ๐—ฎ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
๐—ง๐—ถ๐—ด๐—ผ๐—ฝ๐—ฒ๐˜€๐—ฎ ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ

View attachment 2792077

Kampuni ya Tigo nchini Tanzania imezindua mfumo mpya wa watu kuweza kufanya miamala mbalimbali kupitia Whatsapp.

Kukua kwa Teknolojia nchini Tanzania Kuna fanya makampuni mbalimbali kuongeza ushindani Kwenye kurahisisha huduma mbalimbali ili wateja waweze kufurahia.

View attachment 2792078

Whatsapp ni mtandao maarufu ulimwenguni na unatumiwa na watu wengi kuliona ilo kampuni ya Tigo kupitia mkuu wa idara wa masuala ya fedha Miss Angelica Pesha, wameamua kuleta huduma rahisi ya watu kuweza kufanya miamala kupitia WhatsApp.

View attachment 2792080

Tigo wameleta huduma ya Tigo Pesa Kwenye Whatsapp kwa watu kuweza kutuma pesa, kupokea, kufanya malipo mbalimbali pamoja na kusimamia mfumo mzima wa tigo Pesa ndani ya Whatsapp.

Fanya hivi
โ€ข chukua namba hii 0675300300 itumie ujumbe Whatsapp wa neno "Mambo"
โ€ข chagua lugha unayotaka English au Swahili.

View attachment 2792079

โ€ข Kuna vigezo na masharti utaweza kuvisoma na kukubali Kisha inabidi ujisajili kwa kuweka namba yako ya tigopesa mfano (0655013*) au (+255655013)

IMG_20231025_091215_314.jpg

โ€ข Kisha utaweza kusajiliwa Kwenye mfumo wa Whatsapp na kuweza kutumia huduma hiyo Kwenye Whatsapp.

View attachment 2792081

Kwa msaada zaidi tembelea ofisi za tigo Tanzania
 
Kwenye namba apo nafeli wapi ,nimeandik hivi(+255717135444)ila inagoma inataka niandike namba tena
๐—ง๐—ถ๐—ด๐—ผ๐—ฝ๐—ฒ๐˜€๐—ฎ ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ

View attachment 2792077

Kampuni ya Tigo nchini Tanzania imezindua mfumo mpya wa watu kuweza kufanya miamala mbalimbali kupitia Whatsapp.

Kukua kwa Teknolojia nchini Tanzania Kuna fanya makampuni mbalimbali kuongeza ushindani Kwenye kurahisisha huduma mbalimbali ili wateja waweze kufurahia.

View attachment 2792078

Whatsapp ni mtandao maarufu ulimwenguni na unatumiwa na watu wengi kuliona ilo kampuni ya Tigo kupitia mkuu wa idara wa masuala ya fedha Miss Angelica Pesha, wameamua kuleta huduma rahisi ya watu kuweza kufanya miamala kupitia WhatsApp.

View attachment 2792080

Tigo wameleta huduma ya Tigo Pesa Kwenye Whatsapp kwa watu kuweza kutuma pesa, kupokea, kufanya malipo mbalimbali pamoja na kusimamia mfumo mzima wa tigo Pesa ndani ya Whatsapp.

Fanya hivi
โ€ข chukua namba hii 0675300300 itumie ujumbe Whatsapp wa neno "Mambo"
โ€ข chagua lugha unayotaka English au Swahili.

View attachment 2792079

โ€ข Kuna vigezo na masharti utaweza kuvisoma na kukubali Kisha inabidi ujisajili kwa kuweka namba yako ya tigopesa mfano (0655013*) au (+255655013)

View attachment 2792082

โ€ข Kisha utaweza kusajiliwa Kwenye mfumo wa Whatsapp na kuweza kutumia huduma hiyo Kwenye Whatsapp.

View attachment 2792081

Kwa msaada zaidi tembelea ofisi za tigo Tanzania
 
hilo ni jambo la kawaida tu, wangeleta mapinduzi kama manunuzi yangekuwa kwa mtandao kama paypal ili tununue vitu tukiwa nyumbani automatically.
Siyo kununua tu hata kupokea hela pia
Namatani kama kwenye WhatsApp kungekuwa na uwezo wa kumtumia mtu au kupokea hela kutoka nchi yoyote duniani.
 
Back
Top Bottom