Tigo!Tigo!

Mvina

JF-Expert Member
Aug 2, 2009
998
34
Kunasehemu nilisoma ila sikuenda kiundani sana watu wanashauri mtandao wa TIGO wabadilishe jina maana Tigo limekuwa tusi, naomba kuuliza kama **** mwenye tafsri ya tusi hilo tusije tukafulia tukirudi home.
Nawasilisha.
 
tusi ni kitu gani? tigo tusi ?kwanza tigo sio kiswahili so sio tusi! ni michezo tu ya Lugha kaka mitaani, wana maana yao, kama ilivyokuwa yebo yebo!!
 
Thanx mkuu kwa huo ufafanuzi kidogo lakini hata yebo yebo siilikuwa ina maana yake?
 
Kunasehemu nilisoma ila sikuenda kiundani sana watu wanashauri mtandao wa TIGO wabadilishe jina maana Tigo limekuwa tusi, naomba kuuliza kama **** mwenye tafsri ya tusi hilo tusije tukafulia tukirudi home.
Nawasilisha.

Wewe kwani unatumia tiGo? ama unapenda tiGo
 
Salaam kwa wote,

Ninavyojua mimi kuhusu lugha ni kwamba mpaka neno liwe kwenye kamusi ndio linakubalika kwa maana lililolpewa. Na kila lugha inaongeza maneno kwa njia hiyo. Kigezo kimojawapo ni idadi ya watumiaji. Je Tigo linaeleweka kwa asilimia kubwa ya wa Tanzania?

Tuendelee kujadili.
 
Achana na akina Masanilo ndo wanaopelekea hilo neno lionekane tusi., nadhani wana`imagine ile nembo ya tigo, wanaifananisha na ma****** ya majimama wao! kwii kwii kwiii!

Hujasikia watu wanasema ~nimemchukua yule demu "voda to voda"~. akimaanisha hajatumia salama?

Lakini kimsingi ni neno tu, halina ubaya wowote.
 
Senko kwa maana hiyo maneno yote yana anzia kwenye kamsui? Kama ndo hivyo huyo anaye yaandika huko anayapata wapi? Ufafanizi kidogo.
 
PakaJimmy nashukuru umetoa kidogo mwanga kwamba voda to voda wana maanisha bila Salama basi na hili pia huenda wakawa na maana ndani yake.
Poa ila nimepata mwanga kidogo.
 
Neno Tigo lilipata maana ingine mara tu walipotoa tangazo kuwa Tigo itakupa utakacho na zaidi......sasa hiyo zaidi ndio ikaleta tafsiri hiyo....kwa mabazazi....
 
TiGO sio tusi mbona kwenye kamusi hili neno halipo? mimi sidhani kama ni neno la kiswahili.
 
wakileta lingine na waendelee na matangazo ya kukupa kila utakachi "na zaidi" basi na hilo jina litaharibika pia.
 
Kuna rafiki ya ngu mlokole anafanya kazi Tigo..anaogopa kutaja jina la kampuni yake. Hawezi kuthubutu kusema anafanya kazi TiGO..anachosema anafanya kazi MIC Tanzania. Ukimwambia sema tiGO anagoma kabisa!!!
 
SAMAHANI MODS MSINIPE BAN NATOA TU UFAFANUSI HILI NENO LITUMIKAVYO HUKU USWAHILINI. ukweli tiGO inamaanisha mwanamke au shoga anaetoa kinyume na maumbile e.g mke unamuingilia njia ya kawaida ukeni then unamgeuza na kutaka kumuingilia njia ya haja kubwa ndiko huko kuitwako tiGO
 
Back
Top Bottom