Tigo Bima wananifanyia huu uhuni

Adriel Vin

Senior Member
Jun 25, 2020
148
748
Miezi mitatu nyuma nilipokea simu kutoka kwa mdada aliyejitambulisha anatoka kampuni ya tigo Bima (Milvik)
Akanielezea sana kuhusu huduma zao, nilikua nazifahamu zote ila huwa sipendi kumkatisha tamaa mtu yoyote wa marketing anapokua ananielezea kuhusu bidhaa yake…(i know how hard it is to convince someone to purchase your services/business)

Sasa nilimweleza vyema huyu dada kuwa siko tayari kwa huduma hiyo kwa sasa lakini nikiwa tayari nitawatafuta, akasema hakuna shida jiunge tu ila ukitaka kuanza kunufaika na huduma zetu utapewa maelekezo zaidi, basi akawa ananipa maelekezo kama bonyeza *150*01# na kuendelea, hakutaka namba yangu ya siri ya tigo pesa ila alinambia niweke… nikaingia mkenge nikaweka (najua ni kosa nilifanya) ntaelezea mbele.

Mwezi ulivyoanza tu wakanikata pesa Tsh 9000 kwa ajili ya huduma hiyo, nikajua kosa nililofanya ni kuweka namba ya Siri meaning nilikua nimejiunga moja kwa moja…

Basi bila kinyongo nikawapigia na kuomba kujitoa na wala sikudai ile 9000 maana nilijua kosa ni langu.

Kilichonifanya niandike hapa ni kwamba yule mhudumu niliyeongea nae akaahidi kunitoa kwenye huduma hiyo wala hakunitoa nilijua hilo baada ya kuja kukatwa tena 9000 mwezi unaofata.

Sikukata tamaa nikawapigia na kusisitiza sitaki huduma hiyo hivyo wanitoa, nikawa mkali kidogo kwamba wanitoe na nikauliza kuhusu elfu 9 niliyokatwa while nimewapa taarifa tayari, yule dada akanijibu kuwa siwezi kurudishiwa pesa maana imekatwa tayari. Nikamwambia sawa naomba mnitoe sitaki huduma hii akaahidi kunitoa

Sasa mwezi huu wamenikata tena na nikipiga simu napewa majibu yale yale. Na baada ya kuwa mkali sana nikitaka kulipwa elfu 9 yangu ya mwezi huu, dada mtoa huduma ndo kanitoa.

Naomba ushauri, naanzia wapi kuwadai hawa Ts 9000, issue hapa sio kiasi kidogo hiki cha pesa, issue ni je wangapi wamepigwa au wamepitia same stuation kama mm… huu ni wizi kwakweli.

Nawasilisha
 
WAHUNI KWELI KWELI HAWA

Ungekuwa sio mfuatiliaji wangekukamua sana, usirudie tena kosa
 
Kosa lako liko kwenye hii nukuu yako: ila huwa sipendi kumkatisha tamaa mtu yoyote wa marketing anapokua ananielezea kuhusu bidhaa yake…!
 
we sema ulidata na sauti ya mdada ukajikuta kila anachokuambia fanya na ww unafanya ukute dada mwenyewe hana hata sura nzuri sauti tu unadata
 
Miezi mitatu nyuma nilipokea simu kutoka kwa mdada aliyejitambulisha anatoka kampuni ya tigo Bima (Milvik)
Akanielezea sana kuhusu huduma zao, nilikua nazifahamu zote ila huwa sipendi kumkatisha tamaa mtu yoyote wa marketing anapokua ananielezea kuhusu bidhaa yake…(i know how hard it is to convince someone to purchase your services/business)

Sasa nilimweleza vyema huyu dada kuwa siko tayari kwa huduma hiyo kwa sasa lakini nikiwa tayari nitawatafuta, akasema hakuna shida jiunge tu ila ukitaka kuanza kunufaika na huduma zetu utapewa maelekezo zaidi, basi akawa ananipa maelekezo kama bonyeza *150*01# na kuendelea, hakutaka namba yangu ya siri ya tigo pesa ila alinambia niweke… nikaingia mkenge nikaweka (najua ni kosa nilifanya) ntaelezea mbele.

Mwezi ulivyoanza tu wakanikata pesa Tsh 9000 kwa ajili ya huduma hiyo, nikajua kosa nililofanya ni kuweka namba ya Siri meaning nilikua nimejiunga moja kwa moja…

Basi bila kinyongo nikawapigia na kuomba kujitoa na wala sikudai ile 9000 maana nilijua kosa ni langu.

Kilichonifanya niandike hapa ni kwamba yule mhudumu niliyeongea nae akaahidi kunitoa kwenye huduma hiyo wala hakunitoa nilijua hilo baada ya kuja kukatwa tena 9000 mwezi unaofata.

Sikukata tamaa nikawapigia na kusisitiza sitaki huduma hiyo hivyo wanitoa, nikawa mkali kidogo kwamba wanitoe na nikauliza kuhusu elfu 9 niliyokatwa while nimewapa taarifa tayari, yule dada akanijibu kuwa siwezi kurudishiwa pesa maana imekatwa tayari. Nikamwambia sawa naomba mnitoe sitaki huduma hii akaahidi kunitoa

Sasa mwezi huu wamenikata tena na nikipiga simu napewa majibu yale yale. Na baada ya kuwa mkali sana nikitaka kulipwa elfu 9 yangu ya mwezi huu, dada mtoa huduma ndo kanitoa.

Naomba ushauri, naanzia wapi kuwadai hawa Ts 9000, issue hapa sio kiasi kidogo hiki cha pesa, issue ni je wangapi wamepigwa au wamepitia same stuation kama mm… huu ni wizi kwakweli.

Nawasilisha
Mkuu uli data na zile sauti mzuri 😆😆😆 hapo ,, piga *150*01# nenda huduma za kifedha pale 7, chagua Bima, kisha chagua nima ulikiunga, kisha nenda kavhague kujiondoa ...utanishukuru. Hata Mwaka ujao....mm milijiumgaga zaman , nikaenda mpaka pale ofisi kwao walikuwa Mikocheni pale karibu na save the children .... Nikaonana na wale wadada wanao tupigia simu, nilifanikiwa kumega moja
 
Hahahaha, ukaona isiwe tabu ukamega kamoja, mi tayari nimejitoa nashukuru mzee
 
Back
Top Bottom