tiGO Pesa, Airtel Money na M-PESA mnatufilisi mawakala

Mpesa kwa security wako vizuri. Mimi kuna mtu alikosea akalipa 176,000 kwenye lipa namba ambayo haikuwa hewani. Mteja aliporipoti wakanipigia hawakunipata, alivyoendelea kuwakumbushia ikabidi watafute namba yangu nyingine, wakanipigia kuulizia uhalali wa huo muamala maana kuna mteja ameripoti kukosea toka jana. Nilivyoangalia nikawapa go ahead waurudishe na wakarudisha.
 
Back
Top Bottom