tiGO Pesa, Airtel Money na M-PESA mnatufilisi mawakala

kishumbaz

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
904
1,243
Kama mmeshindwa kuweka security kwa mawakala wenu kwenye huduma za kusitisha miamala, hii huduma iondoeni inatufilisi mawakala.

Jana mfanyakazi wangu kapigwa 50k tigo pesa, mtu ametoa hela umempa cash, katoka kaomba kusitisha muamala, ikala Kwangu wakala, ujinga huu!
 
Kama mmeshondwa kuweka security kwa mawakala wenu kwenye huduma za kusitisha miamala, hii huduma iondoeni inatufilisi mawakala.

Hawa jamaa wajinga sana, huu mfumo una madhaifu mengi, matapeli ni raisi kupita nao
 
Kama mmeshondwa kuweka security kwa mawakala wenu kwenye huduma za kusitisha miamala, hii huduma iondoeni inatufilisi mawakala.

Jana mfanyakazi wangu kapigwa 50k tigo pesa, mtu ametoa hela umempa cash, katoka kaomba kusitisha muamala, ikala Kwangu wakala, ujinga huu!
Ni wapuuzi sana sana sana.

Ilitakiwa mteja akizuia muamala wakala apigiwe simu kwanza.

Japo kama aliyetoa pesa yupo mbali na eneo lililondani ya mipaka ya wakala kufanya kazi, wakala ndio anakuwa na makosa. Na wao wanaamini ni kweli mteja kakosea.

Mfanyakazi wako nae mwambie aache uzembe. Ile text ya kuzuia muamala ilivyoingia alitakiwa awapigie simu kuwaelewesha.
 
Ni wapuuzi sana sana sana.

Ilitakiwa mteja akizuia muamala wakala apigiwe simu kwanza...
Yaan wale wahun wanachofanya wanastuana mtu anajidai anataka kutoa kumbe anamstua mtu wa mbali wanayewasiliana naye ndiyo anatoa, sasa hapo wakala huwezi kumlaum, unabaki na maumivu tu
 
Kama mmeshondwa kuweka security kwa mawakala wenu kwenye huduma za kusitisha miamala, hii huduma iondoeni inatufilisi mawakala.

Jana mfanyakazi wangu kapigwa 50k tigo pesa, mtu ametoa hela umempa cash, katoka kaomba kusitisha muamala, ikala Kwangu wakala, ujinga huu!
mjinga kapata 50k nyingine kizembe tu
 
Hiyo inawezekanaje?

Ina maana Wakala hapigiwi simu mteja akizuia muamala? Hivyo mteja yeyote akitoa pesa anaweza kuirudisha? Poleni sana..
 
Ni wapuuzi sana sana sana.

Ilitakiwa mteja akizuia muamala wakala apigiwe simu kwanza.

Japo kama aliyetoa pesa yupo mbali na eneo lililondani ya mipaka ya wakala kufanya kazi, wakala ndio anakuwa na makosa. Na wao wanaamini ni kweli mteja kakosea.

Mfanyakazi wako nae mwambie aache uzembe. Ile text ya kuzuia muamala ilivyoingia alitakiwa awapigie simu kuwaelewesha.
Unadhani hakujaribu?unakuta alipiga simu hawapokei.

Ilinikuta mimi ilikuwa ni kutuma hela kwa mtu nisiyemkusudia nilitafuta line dakika 27 ndiyo nawapata kwa hasira yule customer care wao nikamtukana bonge la tusi na hela yenyewe sikuipata tena
 
Back
Top Bottom