kaka kwa sim kwenye Speed yeah voda wakali lakini gharama zao No no! Airtel gharama zao poa speed nayo wanajitahidi ila hawajafikia za voda. TIGO these mah f... Speed ni ya kipumbaf gharama zao za kijinga eti Megabox, megabx my a$$ nlijiunga na Android ckuweza kufanya ki2 nikaacha zifie huko. Afu jidanganye usitumie kifurushi wanakomba hela yote na ndo kwanza umefungua google, tigo ctakaa nii2mie kwa Net maishani na nawashauri wangeachana 2 na hiyo biashara waka invest zaidi kenye cheka zao hizo. Ndo maon yangu hayo
sijajua tigo wana beef gan na samsung au kwa sababu edge, line yangu nikiweka kwenye nokia yangu yenye 3g iko speed ila niijaribu kwenye samsung kama 2 speed unachoka mwenyewe "TIGO INTERNET INATEGEMEA NA SIMU/DEVICE YAKO"
Naomba wenye samsung wanao faidi intanet ya tigo na unipe model yake...
Usiangalie mapicha ya ngono bwa mdogo.
aisee na mimi naomba huyo m2 atupe wote model yake. Yaani hivi ushaona kufungua Google unasubiri dakika saba ndo inafunguka usearch unachotaka? Kama bado weka tigo kwenye Android ujionee kwa macho yako. Lakini kaka nakumbuka hata wakat nna ki X2 nokia bado hawa jamaa walikua wanazingua speed low na kama hauna kifurushi inakula kwako.
Good Gay, soma viyuri kaongelea kuangalia video. Ofa ya wateja wa huduma za Blackberry kutoka tigo.
Kaka wengine tunatumia nokia ndogo ya tochi na huduma ni mwelele mwelele