TIGO msitufanye washenzi bana aaah !! ona hii juu ya Blackberry.

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,048
3,227
Ivi Tigo mnanini ?
juzi mlituma sms kwenye simu za Blackberry ! Ilikua hiviii
"Ndugu Mteja, Tigo imekupatia siku 30 za BURE kuangalia video kwenye Internet ukitumia SIMU yako yenye huduma ya Blackberry."

Tukaplay sikunzima baada ya hiyo txt.
Lakini sasa hamna kitu,sijui siku 30 zimeishaa ? yaani nikiweka vocha yangu nakuta yote imelambwa !! Ka si ushenzi ni nn ,, na mnataka tuwakimbie . Acheni kutuzuga na Promosheni zenu , ka hamuezi acheni . Kwanza hizi huduma zinatakiwa ziwepo kwenye bando directly , lakini nalo hamuwezi .
Kiukweli mnakera ,!! Eti "tiGo express yourself" aaaaaaaah !
 
Kaka wengine tunatumia nokia ndogo ya tochi na huduma ni mwelele mwelele
 
Tigo wa ukweli sana kwa huduma za kuongea na kutuma sms,

Lakini kwenye Internet Voda no nomaa !
 
kaka kwa sim kwenye Speed yeah voda wakali lakini gharama zao No no! Airtel gharama zao poa speed nayo wanajitahidi ila hawajafikia za voda. TIGO these mah f... Speed ni ya kipumbaf gharama zao za kijinga eti Megabox, megabx my a$$ nlijiunga na Android ckuweza kufanya ki2 nikaacha zifie huko. Afu jidanganye usitumie kifurushi wanakomba hela yote na ndo kwanza umefungua google, tigo ctakaa nii2mie kwa Net maishani na nawashauri wangeachana 2 na hiyo biashara waka invest zaidi kenye cheka zao hizo. Ndo maon yangu hayo
 
kwa speed vodacoma inaongoza, hata kwa gharama pia wamejitahidi siku hz, embu pitia gharama zao za internet za karibuni, Voda unapata 5gb kwa elfu20, airtel unapata only 2gb kwa elfu 20!
 
Ivi Tigo mnanini ?
juzi mlituma sms kwenye simu za Blackberry ! Ilikua hiviii
"Ndugu Mteja, Tigo imekupatia siku 30 za BURE kuangalia video kwenye Internet ukitumia SIMU yako yenye huduma ya Blackberry."

Tukaplay sikunzima baada ya hiyo txt.
Lakini sasa hamna kitu,sijui siku 30 zimeishaa ? yaani nikiweka vocha yangu nakuta yote imelambwa !!

Usiangalie mapicha ya ngono bwa mdogo.
 
Ivi Tigo mnanini ?
juzi mlituma sms kwenye simu za Blackberry ! Ilikua hiviii
"Ndugu Mteja, Tigo imekupatia siku 30 za BURE kuangalia video kwenye Internet ukitumia SIMU yako yenye huduma ya Blackberry."

Tukaplay sikunzima baada ya hiyo txt.
Lakini sasa hamna kitu,sijui siku 30 zimeishaa ? yaani nikiweka vocha yangu nakuta yote imelambwa !! Ka si ushenzi ni nn ,, na mnataka tuwakimbie . Acheni kutuzuga na Promosheni zenu , ka hamuezi acheni . Kwanza hizi huduma zinatakiwa ziwepo kwenye bando directly , lakini nalo hamuwezi .
Kiukweli mnakera ,!! Eti "tiGo express yourself" aaaaaaaah !

kama ilivyo ndugu icopy na upaste hapa Tigo Tanzania | Facebook

hii itakusaidia kutatutiliwa tatizo lako fasta niamini..
 
In case iya internet voda ni no 1,mimi huwa sisubcribe bundle naingia direct kwenye internet natunia then natoka ni nafuu sana kwasababu natumia kama luku vule na wananikata 0.16 kwa 60sec .ila hawa paka mapepe tigo ukiingia direct wanakata hela yote alafu wanakumiminia sms kama 10hivi huna hela ,yaani sms za tigo zinaniudhi sana .yaani huduma za tigo zinanikera sana sana.namalizia kuamisha phone book kwend a voda
 
kwa speed vodacoma inaongoza, hata kwa gharama pia wamejitahidi siku hz, embu pitia gharama zao za internet za karibuni, Voda unapata 5gb kwa elfu20, airtel unapata only 2gb kwa elfu 20!

Mkuu mbona hata ZANTEL 5 GB ni elf 20 tena speed yake ni ya uhakika kuliko VODA?
 
Ivi Tigo mnanini ?
juzi mlituma sms kwenye simu za Blackberry ! Ilikua hiviii
"Ndugu Mteja, Tigo imekupatia siku 30 za BURE kuangalia video kwenye Internet ukitumia SIMU yako yenye huduma ya Blackberry."

Tukaplay sikunzima baada ya hiyo txt.
Lakini sasa hamna kitu,sijui siku 30 zimeishaa ? yaani nikiweka vocha yangu nakuta yote imelambwa !! Ka si ushenzi ni nn ,, na mnataka tuwakimbie . Acheni kutuzuga na Promosheni zenu , ka hamuezi acheni . Kwanza hizi huduma zinatakiwa ziwepo kwenye bando directly , lakini nalo hamuwezi .
Kiukweli mnakera ,!! Eti "tiGo express yourself" aaaaaaaah !

Kwenye red hapo kaka.....ukikimbia utaenda wapi mzee?? Acha mkwara.....
 
Mkuu mbona hata ZANTEL 5 GB ni elf 20 tena speed yake ni ya uhakika kuliko VODA?

kweli ndio hata zantel 5gb kwa elfu20, nilikuwa nina modem ya zantel tayari nishaitupa kitambo, net inaweza kata hata kwa dk30 , kama una kazi zako za haraka unaweza ukalia, kwa mfano ndio kama uilkuwa una-deal ya kubid online halafu ndio muda huoo umeyoyoma, unaweza ukalia! kwa spidi kubwa na isiyokata voda rocks!
 
Hawa jamaa hata mimi walinitumia nikaangaalia video kama tatu then nikawaza how can that be possible mwezi mzima bure! Kucheki salio nikakuta wanasema nimebakiza 475MB wakati nilikuwa sina kitu so ni kwamba wanatoa 500MB ndani ya mwezi mmoja u can use them hata ndani ya masaa mawili inategemea na matumizi.hiyo lugha ya 'BURE' ni uongo and I thnk TCRA inabidi waingilie kati kozi huku ni kudanganya watu. I hope umenipata kaka

Sent from my BlackBerry using JamiiForums
 
Back
Top Bottom