Kuanzia asubuhi ya leo 17 may 2011, wakazi wa Dar es Salaam ukipiga simu inakwenda kwa mtu mwingine bila kukusudia, sijui tatizo ni nini? wengine mpaka tumetukanwa
Leo wanamatatizo ya cross-talks ambapo kumekuwa na random system congestions, na hawana kabisa links leo ktk branches zao. Hivyo wapo down tangu asbh ila naona sasa mambo yameanza kuwa shwari.
Nami pia nimepigiwa cm na mtu ambaye cmfaham ye yuko Zenj me Rocky City eti ananimbia jion hii tuonane pale Makunduchi.?
hao jamaa naomba wawe makini na huduma zao na hilo jina(tgo) wachange coz huleta maana tofauti.
Tanzania hii hakuna mtandao unaoweza kuutumia bila matatizo 100%, wote wasanii tuu wamekuja kutunyonya tu washibe then waondoke lakini kiama chao kitakuja tu, tatizo hata nchi zetu zimekosa viongozi wote madodoki tu wanaendeshwa na wawekezeji tu, cha kukusaidia wewe uwe na laini zote tu ukizinguliwa huku badilisha hivyo hivyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.