tigo mmezidi jamani

Nikitaka kuyaandika niliyofanyiwa na tigo humu ndani mtazitupa lin zenu za tigo jamaa ni manyani kishenzi hawa bora ningemiliki radio call tu
 
sasa hivi Tigo imekua the most EXPENSIVE network in Tanzania, wote wanaiba ila hawa wamezidisha kwakweli, bora kuhama sio mume huyo kumng'ang'ania.
 
Halafu mbona mnaishia kulalamika.mmefungwa pingu na tigo?wakizingua unasepa
 
Tigo ni buree kabsaa....nilifanyaga makeke kwenye simu yangu nikawa naitaji Puk...kuwapigia wananiuliza maswali kibao.....mwisho muhafaka ni kufika oficni kwao,kufika naambiwa line ni mbovu lazima kuirenew na wakashindwa kutekekeleza hilo....Mungu bariki nikafanikiwa pata hiyo PUK kwenye makbrasha yangu....hawa jamaa vilaza kinoma.
 
Back
Top Bottom