tiGO Hikes Airtime Tariff 'Silently'

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
671
22 April 2010

Dar Es Salaam — MIC Tanzania, a mobile phone operator trading as Tigo, has 'silently' hiked its airtime tariffs, a move that industry watchers describe as stealing from the unsuspecting customers.

According to the cellular phone operator's website, Tigo subscribers actually pay, albeit unaware, 25 per cent over and above the tariff rates that the company is propagating. The tariff rate for the company's peak hours that start at 6pm through 10pm is 1/25 against the widely publicised 1/- per second.

The tariff increase took effect soon after the firm announced its record lowest tariff of half a shilling per second after the first minute, the talk of the town currently.

According to Industry sources, the 6-10pm are the most productive hours in which mobile phone companies generate over 50 per cent of their revenues. This is reportedly the time when majority people are through with work and have ample time to socialise with family members, relatives and friends.

The four-hour hike in tariff by Tigo, informed sources say, enables the company to compensate for the lost revenues during the hours in which subscribers talk at the half shilling per minute.


Interviewed people have criticised the company, saying even if the tariff hike sought to compensate for the lost revenues, the hike should have been communicated to the public through proper means, not the website whose access is limited to few people compared to those subscribing to the network.


"Informing the public about a price hike through the website is merely stealing from the majority people who do not have access to the internet - we make calls not knowing exactly how much we are being charged," one irritated Tigo subscribers complained to the 'Daily News'.

Amina Athuman a Dar es Salaam resident said that the company should have advertised the increase just as they do when they reduce tariff so that people should make choices on how and when to make calls.

"When they reduce tariffs they don't just advertise on their website - they advertise in various media of communications - radios, newspapers and televisions - to reach majority of Tanzanians. But now they have increased tariffs, they opt to advertise on the web which only few people have access to," Ms Athuman charged.


But, Tigo Public Relations manager Jackson Mbando denied claims of tariff increment, saying the company was always striving to reduce their prices to become the cheapest and widely affordable.


He said that the company has no intention to increase tariffs, adding that the 1.25 per second tariff was tax inclusive. However, the announcement on the website has stated that the charges are tax exclusive.


Source: http://allafrica.com/stories/201004220953.html
 
Hii mitandao ya kibongo imekaa kiwiziwizi tu. Bora kuwaibia na wao.
 
Hiyo ni propaganda ya washindani wao, pamoja na habari hiyo tiGO bado wako chini kuliko mitandao mingine.
 
Hiyo ni propaganda ya washindani wao, pamoja na habari hiyo tiGO bado wako chini kuliko mitandao mingine.

Sidhani kama kuna mtu anabisha kuhusu hilo. Ila hii habari kwamba bei tunayoijua siyo hiyo tunayolipishwa ni ya kweli?
 
aaaah Shadow bana...
ngoja kuanzia sasa hivi kila nikilonga nacheki salio

Naona ulishaibiwa long time.

Shida ni kuwa sina hakika kama ile theory ya Mkuu wetu inaweza kutumika hapa. Alisema kuwa ni lazima, uliwe ili na wewe uweze kula ("kula uliwe"). Sasa hawa jamaa wa TiGO wameshatula, tunaweza kuwala na sisi?
 
si kweli zantel ndio wako chini kuliko wote kwani tigo kwenda mtandao mwingine ni sh.12 kwa sekunde wakati zantel ni sh.3 kwa sekunde kwenda mtandao mwingine, na wote tayari wana sh 1 kwa sekunde kwenda mtandao huo huo ila ili la kuongeza charge mda uo na kutoa matangazo kwa website ni blackmail. hakuna kitu kibaya katika biashara kama kutake advantege of your customer ignorance na tigo ndio wametumia mwanya uo.
 
Naona ulishaibiwa long time.

Shida ni kuwa sina hakika kama ile theory ya Mkuu wetu inaweza kutumika hapa. Alisema kuwa ni lazima, uliwe ili na wewe uweze kula ("kula uliwe"). Sasa hawa jamaa wa TiGO wameshatula, tunaweza kuwala na sisi?

nimeliwa tena nahisi sana tu..........

naanza kuweka record na bill ikicha nalinganisha na record yangu, kama ni kweli sasa sijui ntafanyaje.....
i will see
 
My God! I used to think of this issue . Now i have proved i dont trust TIGO any more im going to SASATEL!
 
nimeliwa tena nahisi sana tu..........

naanza kuweka record na bill ikicha nalinganisha na record yangu, kama ni kweli sasa sijui ntafanyaje.....
i will see
Mi nlishastuka siku nyiiingi. Nlikuwa na shs 140 kwa simu nikajua ntalonga zaidi ya dk 2.... Kudadadeki hazikufika hata dk 2 zenyewe. Baada ya makalkulesheni yangu nikagundua wanakula zaidi ya tshs 75 kwa dk! Lakini kwangu nikaona poa tu nikilinganisha na wengine..... Nikaendelea kujiexpress na ntaendelea till further notice.
 
Makampuni yetu ya simu yanafanya wizi wa kisanii sana
  1. Unaambiwa bei, ila bila kodi. As if you are paying without tax
  2. unaambiwa "terms and conditions apply", hizo terms na conditions wanakua nazo wenyewe

Own Network Tariffs (Tshs/Second)*

Off Peak first Minute 1.0
Off Peak after the first Minute 0.5
Peak (6pm - 10pm) 1.25

All rates VAT exclusive.

Hizi nyingine zina kodi pia?? Hawa wanafanya kwamba akili zetu zipo kwenye visigino!
 
Kweli hata mimi nilihisi kuibiwa kwani ukiangalia salio kabla na baada ya kutwanga simu huwa haviendani!
Kama wewe ni wa kucheki salio kabla na baada ya kupiga simu kila unapotaka kupiga simu, BASI UWEZO WA KUMILIKI SIMU BADO HUJAUFIKIA..............ila unalazimisha tu
 
Kama wewe ni wa kucheki salio kabla na baada ya kupiga simu kila unapotaka kupiga simu, BASI UWEZO WA KUMILIKI SIMU BADO HUJAUFIKIA..............ila unalazimisha tu

Kwani uwezo wa kumiliki simu unaupimaje? Kama huo ndiyo mtazamo wako basi una haki hiyo.

With all my respect to you, DC.
 
sijaona bado mtandao wa ukweli wote wamekaa kimasilai na kimatangazo zaidi ila inauma makampuni makubwa kutumia garama kubwa kwenye matangazo alafu ni ya kisanii kwa kwenda mbele
 
Back
Top Bottom