Tido muhando kutoka Bush house kuja Town

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
Jee kweli Tido Muhando ndio yule yule wa BBC. kwani namkumbuka alipokuwa BBC marais wa Afrika hasa Mh mkapa akiapata kazi kujibu maswala yake. yalikuwa maswala hasa yanagusa jamii na kuonekana kama mkombozi wa Jamii mpya hasa ya kiafrika. Jee ametoka Bush House kaingia Town Hous (tbc)?
 
Kule pamoja na kuwa mkurugenzi alikuwa mtangazaji, sasa huku si unajua mkurugenzi ni nini! Siyo enzi zileeeeeeee za mkurugenzi David Wakati. By the way, yuko wapi huyu mzee????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom