Tiba ya unyevu(fangasi) kwenye nyumba.

fikirijohnas

Member
Nov 10, 2018
46
25
Habari ndg zangu.
Ninaomba tiba ya fangasi kwenye nyumba ambayo tayari imeathirika na fangasi ya ukutani.
-rangi na tofali vinapukutika kutokana na unyevu wa maji.
Ahsanteni.
IMG_20220610_165803_9.jpg
 
Points 10 za ujenzi: Chumvi katika jengo

Pitieni thread hiyo...

Habari ndg zangu.
Ninaomba tiba ya fangasi kwenye nyumba ambayo tayari imeathirika na fangasi ya ukutani.
-rangi na tofali vinapukutika kutokana na unyevu wa maji.
Ahsanteni. View attachment 2929181
Kwanza inaonekana iliyotumika kwenye tofali ni ndogo,,au tofali ni BamBam hizo.
Halafu pia Mchanga uliotumika kutengenezea tofali huo,nao kama ile michanga bei nafuu yenye chumvi...
 
Back
Top Bottom