Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,744
bi dada, siku hizi kuna wa kijijini?Hahahaaaaa! Mfumo dume nao! Inaonekana kafungashia sana huyo bi dada akivaa suruali roho inakuenda mbio!!!! Kama unataka asievaa suruali, na anaekusikiliza, we nenda katafute KIJIJINI, wa huku mjini, tumeshajichokeaaa longi, UKOLONI MAMBOLEO umetutawala mapaka fikra!!!! Usawa mpaka mavazi!!! Hadi kitandani TUNAWAHI WOMAN ON TOP!!! Ikishindikana tunasettle for 69 position!!! LOL!!!
Shukuru umeishi zama za suruali, manake huko mbeleni wazungu watatembea bila nguo, na huku bongo lazima tuige!!!!
nenda kule kijijini siku hizi, wewe uliyetoka mjini ndo utajiona si mali kitu............... chezea utandawazi