Tiba Ya Kutopenda!

Hahahaaaaa! Mfumo dume nao! Inaonekana kafungashia sana huyo bi dada akivaa suruali roho inakuenda mbio!!!! Kama unataka asievaa suruali, na anaekusikiliza, we nenda katafute KIJIJINI, wa huku mjini, tumeshajichokeaaa longi, UKOLONI MAMBOLEO umetutawala mapaka fikra!!!! Usawa mpaka mavazi!!! Hadi kitandani TUNAWAHI WOMAN ON TOP!!! Ikishindikana tunasettle for 69 position!!! LOL!!!

Shukuru umeishi zama za suruali, manake huko mbeleni wazungu watatembea bila nguo, na huku bongo lazima tuige!!!!
bi dada, siku hizi kuna wa kijijini?
nenda kule kijijini siku hizi, wewe uliyetoka mjini ndo utajiona si mali kitu............... chezea utandawazi
 
Hujajibu swali, uliandika hivi, "Ila Kutonishi rikisha Kama Atabadiri Nilichomuambia, Kulinikasirisha!" mimi nimekuuliza akushirikishe kwenye nini? unataka akuombe ruhusa kuvaa suruali ili asizidishe chachu katika muonekano wa maungo yake!? au una maana gani unaposema akushirikishe!? Kwa maoni yangu kuvaa suruali si kosa hata kama anapenda kunywa pombe lakini kwa kiasi hamtukani mtu wala kuanzisha ugomvi basi hakuna tatizo ila kama anakunywa mpaka anapitiliza na kutojifahamu kile akifanyacho basi inabidi muongee badala ya kususa.

Mapenzi Ni Maelewano, Kama Kuna Kikwazo Kinachofanya Mwenzio Aone Hujafata Alichoomba Toka Kwako,Yafaa Kumtaarifu Na Mkafikia Muafaka...Yeye Hakuniambia Kama Kuna Suala Litakalomzuia Kufata Maombi Yangu Kwake!

Mkuu Nazani Unajua Suruali Hasa Za Kubana Zinavyochoresha Maungo Ya Hawa Viumbe,Mi Sikupenda Mpenzi Wangu Avae Suruali Wakti Yuko Mbali Nami!
Nilishamtaarifu Kuwa Sitaki!
 
kikubwa, hebu kaa ujifanyie kazi wewe mwenyewe.

Usipende kuwa 'dictator' kwenye mahusiano, wadada watakukimbia wote.

Unamwambia leo asivae suruali, wkati ukute ameanza vaa tangu kazaliwa, utawezaje?

Unatakiwa ku-accomodate mabadiliko hayo.

Sasa hivi mwache kwanza huyo binti, wala usimtafute maana bado umepanic. Napima panic hii kwa wewe kutaka kutafuta suluhisho la Limbwata.

Asante Ila Mimi Sio 'Dictator'
Nilimkuta Kavaa Sketi Na Nikamtaarifu kutopendezwa Na Suruali!
Siku Imekuwa Ndefu Kwangu,,,Nitajitahd Kufata Ushauri Wako!
 
Ni kweli mapenzi ni maelewano. Kama hupendi avae suruali za kubana basi mfahamishe hivyo badala ya kumpiga marufuku kuvaa suruali kabisa, na kama ni kicheche hata akivaa gauni la kwendea msikitini la kuziba hadi nyayo bado anaweza kuufanya ukicheche wake bila tatizo lolote.

Mapenzi Ni Maelewano, Kama Kuna Kikwazo Kinachofanya Mwenzio Aone Hujafata Alichoomba Toka Kwako,Yafaa Kumtaarifu Na Mkafikia Muafaka...Yeye Hakuniambia Kama Kuna Suala Litakalomzuia Kufata Maombi Yangu Kwake!

Mkuu Nazani Unajua Suruali Hasa Za Kubana Zinavyochoresha Maungo Ya Hawa Viumbe,Mi Sikupenda Mpenzi Wangu Avae Suruali Wakti Yuko Mbali Nami!

Nilishamtaarifu Kuwa Sitaki!
 
Ni kweli mapenzi ni maelewano. Kama hupendi avae suruali za kubana basi mfahamishe hivyo badala ya kumpiga marufuku kuvaa suruali kabisa, na kama ni kicheche hata akivaa gauni la kwendea msikitini la kuziba hadi nyayo bado anaweza kuufanya ukicheche wake bila tatizo lolote.

Sasa Nimejifunza Jambo,Kina Kirefu,Utapata Maji Yalotulia!
Ngwe Ijayo Lazima Niwe Makini Na Mikazo Tata!
 
kwani umemuoa
kama hujamuoa kwanini unampangia masharti
kumzuia kuvaa suruali inahusu!!!!
hata angevaa gunia kama hajatulia hajatulia tu
inavyoonyesha huna msimamo na mahusiano yako.
 
Ni Miezi Miwili Sasa Toka Niachane Na Msichana Kipenzi Cha Nafsi Yangu,
Chanzo Ni Kwamba Hakutaka Nisikiliza Na Kunishirikisha Katika Uvaaji Wake Wa Suruali Na Kunywa Pombe Pale Nilipomzuia!
Kwa Hasira Na omba Yake Msamaha Nika Jivua(Tukaachana Ila Tukikutana Ni Salamu Tu)
Katika Harakati Za Utafutaji Imenilazimu Kuhama Mji Aliopo...sasa Niko Mbali Nae Yapata Miezi 2(Hakuna Mawasiliano)
Najitambua...Nasema Tena Najitambua Ila Kambi Yangu Inafuka Moshi Si Kidogo,Nilalapo Ndio Auheni Kwangu Kwani Huyu Binti Anatawala Sana Akili Yangu Kiasi Najikip Bize Kusoma Hadith Za Shigongo, Kuperuzi,Mazoezi N.k Ili Kumsahau,Lakini Ari Ni Tete!
Nilichoamua Sasa... Nimtafutie Dawa Itakayomfanya Nae Anipende Na Kunisikiliza Katika Yote Mema,Kama Nisikiavyo Kuwa Kuna Waganga Wa Haya Mambo(Limbwata)
Ama Nipate Dawa Ya Kumsahau Yeye!

Je,Wapi Nitapata Haya Mambo Mbali Na Utapeli Wa Mjini? Kwa Yeyote Anaefahamu AniPM TAFADHARI WAKUU!

NB:pISHANA NAMI ILA HUSITUKANE ALAMA ZA MIGUU YANGU,KWANI UTOKAKO NDIKO NIENDAKO!


The End of the world as we know it.
Aisee.
jana nimeona matangazo kibao yanayo wafaa watu kama wewe.

Wanavuta wapenzi,wanatoa pesa za majini,
wanakuunganisha na freemason,hata ahera ukitaka wana kupeleka.

Dunia ni yako,chagua lolote mkuu.
 
Ni Kweli Na Hasa Mkisikilizana Na Kushrikishana
kwa Mfano Kuna Siku Yeye Alinipangia Kuvaa Kaptura,Nikamtaarifu Kutokuwa Nayo Na Kumuomba Uchaguzi Mwingne Na Mambo Yakawa Sawa!

sio Dhambi Ila Kutonishirikisha Kama Atabadiri Nilichomuambia, Kulinikasirisha!


Ha ha,hili swali hua silipendi ila naomba nilitumie leo.
Wewe ni kabila gani eti?
 
kila Mtu Anakila Hasichopenda Mpenzi Wake Afanye...Kuna Wengne Hawapendi Wapenzi Wao Wavae Hereni N.k
Mimi Sipendi Mpenzi Wangu Avae Suruali Kwani Ilizidisha Chachu Ktk Muonekano Wa Maungo Yake!

He he he,aaaah.
Kweli dunia nzuri sana,asante kwa kuniongezea siku.
 
we Acha Tu "FP"..Kambi Inafuka Moshi,Najuta!

Mkubwa kama vipi mrudie mapemaa mzee, maana ukichelewa tu wale waliokuwa wanajiuliza nitampata lini watakuwa wameshaona kivuno.......utateseka mzee na kama unavyojua kipendacho roho tena:frusty:
 
Shukrani Sana Ndugu!
Homa Ya kupenda,Ni Mbaya Sana Aisee!
Mazingira Ninayoishi Yametawaliwa Na Yeye Tu;Nione Msichana Mzuri...Fikra Zitaenda Kwake Yeye Na Kumuona Yeye Ndo Zaidi,Nisikie Nyimbo Nzuri Ya Mapenzi...fikra Ni Kama Imeimbwa Kwa Ajili Yake!
Aisee Huu Ugonjwa MBAYAAAA....!
Ushauri Wako Utanifaa Ndugu!
Naomba Sana Mungu Nijiepushe,
Dah!

kama nataka kukuonea huruma hivi.
Kua mwanaume bana,mwanaume hapendagi hivo.
Labda yeye kesha kuwahi kwa waganga,ukienda huko una haribu zaidi.

Nenda kwa YESU,yeye ana funika yote na hakuna wa kumzidi.
 
Uamuzi kweli ni wako, lakini kuna mamboya msingi ya kufikia uamuzi. Mapenzi ni kukubali kumfurahisha umpendaye na siyo kujifurahisha wewe binafsi. Kama mpenzi wako hajali kama utachukia au la kuna walakini. Kwa mawazo yangu ni kuwa kwake suruali ni ya thamani sana kwake kiasi kuwa yuko tayari kukukosa wewe abaki na suruali, lakini kwa upande mwingine na wewe uko tayari umkose yeye kuliko avae suruali. Kwa ufupi hakuna kati yenu aliyetari kukubali wazo la mwenzake wala hamko tayari kufurahishana, kila mmoja anataka kujifurahisha yeye binafsi. Suruali hapa ni symbol tu yakuonyesha jinsi mnavyopishana. Maisha ni kusikilizana si kusikilizwa wewe peke yako. Hebu tujiulize maswali rahisi tukitegemea kupata majibu magumu. Mpenzi wako akiacha kuvaa suruali atapata madhara gani? Na je; mpenzi wako akivaa suruali wewe binafsi utapoteza nini? Tukijibu maswali haya kwa ufasaha, tutakuta mahusiano yetu pengine ni bora zaidi kuliko mavazi kwa sababu tunaweza kuhusiana vizuri zaidi hata bila ya mavazi na kwa kweli wakati wa mahusiano ya asili kati mume na mke mavazi hayana nafasi.
 
kwani umemuoa
kama hujamuoa kwanini unampangia masharti
kumzuia kuvaa suruali inahusu!!!!
hata angevaa gunia kama hajatulia hajatulia tu
inavyoonyesha huna msimamo na mahusiano yako.

JICHO Msimamo Nnao Sana,si Ndo Maana Nahtaji Changu..Mwanzo Zilikuwa Hasira Nikasusa!
 
The End of the world as we know it.
Aisee.
jana nimeona matangazo kibao yanayo wafaa watu kama wewe.

Wanavuta wapenzi,wanatoa pesa za majini,
wanakuunganisha na freemason,hata ahera ukitaka wana kupeleka.

Dunia ni yako,chagua lolote mkuu.

Uhakika? nahtaji Muhanga Mwenye Ushuhuda Sababu Sihitaji Kuingia Kwa Matapeli!
Poa Lakin Nitakupm Rafiki!
 
Back
Top Bottom