Tht wazindua jengo jipya

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,322
33,126
<table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"><tbody><tr><td width="10">
</td> <td width="606">

</td> <td align="right" width="139">photos</td> <td align="right" width="12">
</td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">
pix.gif
</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">
USIKU wa kuamkia leo kulikuwa na uzinduzi wa jengo jipya litakalokuwa likitumiwa na wasanii wa Tanzania House of Talents ‘THT ambapo uzinduzi huo ulionekana kufana kwani palikuwa na burudani kibao kutoka kwa wasanii hao. Tafrija ya uzinduzi huo ilaanza majira ya saa moja jioni, ikiwa katika mfumo wa ‘cocktail’ ambapo vinywaji vya kila aina pamoja na vitafunwa vilikuwa vikizungushwa na wahudumu maridadi. Katika shamrashamra za uzinduzi huo kulikuwa na wasanii kibao wa THT ambao kila mmoja aliweza kutoa burudani ya aina yake ambayo iliwakonga wageni waalikwa ambao hawakusita kushangilia.

Mgeni rasmi alikuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Kinondoni Bw.Bernad Patrick Marceline.

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Ruge Mutahaba (kulia) ambaye ni Mkurugenzi wa THT akimtambulisha Rehema ambaye ni msimamizi wa THT

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Ruge, akimtambulisha Happiness ambaye ni msimamizi wa Idara ya Fedha ya THT

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Meneja wa THT, Rebecca Young (kulia) akiwa na mgeni rasmi Benard Patrick Marceline ambaye ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Kinondoni.

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Mbunifu wa mavazi Ally Remtulla (kulia) nae alikuwepo..kushoto ni Happiness

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Mwimbaji wa THT Marlaw (kushoto) na Fina Mango, Mkurugenzi wa One-Plus Communications.

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Watangazaji wa Clouds FM, Dinna Marious (kulia) na Zamaradi Mtetema nao walikuwepo

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
...wasanii wa THT wakitumbuiza

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
...wasanii wa THT wakitumbuiza

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
...wasanii wa THT wakitumbuiza

</td></tr></tbody></table>
 
Naona tht wana mfumo na uongozi mzuri.
Watafika mbali.
Lakini je wasanii wenyewe wanafaidika??
Au hela zote zinaliwa na kina ruge?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom