Nimes'tuka yaiteka Shinyanga

Mr Chin

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
4,625
1,024
Kundi la wasanii wanaomuunga mkono Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, Dk John Pombe Magufuli jana niliingia mkoani Shinyanga kuhamasisha wananchi umuhimu wa kusikiliza sera kwa kina na kupima ukweli katika utekelezaji wake.

Kundi hilo linaloundwa na muunganiko wa wasanii wa folamu na muziki, limetomiza siku ya 15 ya ziara zao za Kijiji kwa Kijiji ambapo lengo kuu ni kuwastua vijana wenzao kuacha kufuata mkumbo, na badala yake kusikiliza sera kwa umakini na kupima ukweli wa utekelezwaji wake bila ya kuwa na mihemko ya kidemokrasia.
PICHANIO JUU: Miss Tanzania 2014 Lilian Kamanzima akiongea na umati wa watu uliojitokeza kulisikiliza kundi la Nimestuka, Shinyanga mjini jana

<tbody style="border: 0px; font-style: inherit; font-weight: inherit; margin: 0px; outline: 0px; padding: 0px; vertical-align: baseline; background-image: initial; background-attachment: initial; background-size: initial; background-origin: initial; background-clip: initial; background-position: initial; background-repeat: initial;">
</tbody>
10.jpg
Mmoja kati ya viongozi wa kundi la Nimestuka, Aunt Eze akiongea na wananchi katika mkutano mkutano uliofanyika Shinyanga mjini ambapo walisimama kuhamasisha vijana wenzao kusikiliza sera kwa umakini na kumuunga mkono Mgombea wa Chama cha Mapinduzi, Dk John Magufuli

<tbody style="border: 0px; font-style: inherit; font-weight: inherit; margin: 0px; outline: 0px; padding: 0px; vertical-align: baseline; background-image: initial; background-attachment: initial; background-size: initial; background-origin: initial; background-clip: initial; background-position: initial; background-repeat: initial;">
</tbody>

12.jpg
Msasnii wa filamu dende, akimwaga sera

<tbody style="border: 0px; font-style: inherit; font-weight: inherit; margin: 0px; outline: 0px; padding: 0px; vertical-align: baseline; background-image: initial; background-attachment: initial; background-size: initial; background-origin: initial; background-clip: initial; background-position: initial; background-repeat: initial;">
</tbody>
Msanii wa vichekesho, Kitale a.k.a Mkude, akiwastua wananchi wa Shinyanga katika viwanja vya Buhangija jana

<tbody style="border: 0px; font-style: inherit; font-weight: inherit; margin: 0px; outline: 0px; padding: 0px; vertical-align: baseline; background-image: initial; background-attachment: initial; background-size: initial; background-origin: initial; background-clip: initial; background-position: initial; background-repeat: initial;">
</tbody>
16.jpg
Inspekta Haroun, `Babu’, akipagawisha wafuasi wa chama tawala waliohudhuria mkutano wa wasanii wanaounda kundi la Nimes’tuka

Back
Top Bottom