Thread zangu hazichangiwi

Niliwahi kusoma maoni ya AshaDii, akijibu tuhuma zilizotolewa na mwana JF mmoja akilalamika kwamba kuna member wana ID nyingi kiasi kwamba wanaanzisha uzi na kujijibu wenyewe, alishangaa kwamba iweje mtu aweke uzi na ndani ya dakika 5 kuwepo na maoni 300!

AshaDii alimjibu vizuri sana, nakumbuka alikanusha madai hayo, lakini alitaja sababu kadhaa zinazopelekea mada kuchangiwa kwa kasi kama Rocket....

1. Member ukiwa mshiriki kwenye mijadala mbalimbali humu JF mada zako hazitakosa wachangiaji
2. Aina ya mada, kuna mada ambazo zinahitaji kusomwa tu na watu wakaelimika basi, watu hawaoni umuhimu wa kuchangia, ukitaka kujua idadi ya watu waliosoma mada yako waweza kuangalia idadi ya Views.
3. Timing, mada yako umeiweka muda gani, kuna wakati, hakuna members on line, ukiweka mada yaweza kupita bila kuchangiwa
4. Je unashiriki katika mjadala wa mada yako? kama umeweka mada kisha ukasepa hutapata wachangiaji, kuna watu watakuuliza maswali, na wengine wanaweza kupingana na wewe, hawa wanaaka kujiridhisha na kile ulichoandika, sasa nani anataka kushiriki mjadala bubu kama huo?

Mengine sikumbuki, lakini kama AshaDii yupo online atakusaidia....................
 
Nina balaa gani kiumbe cha Mungu miee manake kila thread ninayoanzisha inaishia kupotezewa tu? Mweeee

Eyooo wapi papaa Masanilo.......
Wapi mamaa AshaDiiii........
Wapi mamaaaa FaizaFoxy.......
Wapi mkuu Invisible..........
Mamaaa Mamdenyi upoo......
Papaa Mwita25 jeeeee.......

Bundajo nimekuja kabisa hapa kwa ajili yako tu... Ulowataja wooote watapita hapa hata Mwita alopigwa Ban thou kwa ID nyingine... Ila Mkuu Invii muache kidogo for the guy (kwa kufikiria kwangu haraka haraka sidhani kama ana mda) Enways sababu ambazo thread zako hazichangiwi ni hizi hapa chini... Observe na zifanyie kazi...

  1. Wee ni Member mpya or maybe niseme this is too new an ID for you to complain.
  2. Nature ya topic yako ni ya Promo tu... Tena promo ya mtu ambae anakwaza almost majority ya members hapa jamvini... Hivo basi tokana na kwamba wee ni mpya hapa yawezekana pia wewe ni Mwita25 (kama ndie nimeshindwa jibu pm yako inagoma sababu ya ban)
  3. Una post 16 hivo ina maana hata wee ni mvivu wa kuchangia acha kulalama (tabia ambayo inaongozwa to date na member mmoja tu - Mwita25)
  4. Weka topic inayoeleweka, chagua forum inayokufaa.... kama hivi hapa panakufaa kabisa na naamini hapa hutakosa wachangiaji, Huwezi peleka thread kam hio ya Mchaga25 = Mwita25 kwenye complaints... then utegemee kua wachangiaji watakua wengi..
  5. Sio lazima kila mtu arushe thread, waweza hata jiunga zilizofunguliwa...

BTW Good morning.... hopefully you are well and good.

Pamoja Saaana

AshaDii.
 
Afrodenzi, asante kwa hii, kumbe siku hizi jf ni popular kihivi mpaka mtu anajiunga na kupost utumbo ili tuu ajulikane!. Tunapiga hatua!.

Hilo neno 'utumbo' halileti maana ukilinganisha uwepo wapo wa jamvini kwa muda mrefu.
 
Mamaaaaaa AshaDii hujaacha tu kumsakama Mwita25? Yule ni kilaza wa kutupwa na wala hafai kujadiliwa. Baada ya kusema hayo, nashukuru kwa kuchangia thread yangu.
 
Afrodenzi, asante kwa hii, kumbe siku hizi jf ni popular kihivi mpaka mtu anajiunga na kupost utumbo ili tuu ajulikane!. Tunapiga hatua!.

yawezekena ni Mgeni haswa...
au ni wale wenye ID mia na nusu..

Haina neno lakini yote maisha..
kapatia jukwaa lakini chit chat..
 
Bundajo nimekuja kabisa hapa kwa ajili yako tu... Ulowataja wooote watapita hapa hata Mwita alopigwa Ban thou kwa ID nyingine... Ila Mkuu Invii muache kidogo for the guy (kwa kufikiria kwangu haraka haraka sidhani kama ana mda) Enways sababu ambazo thread zako hazichangiwi ni hizi hapa chini... Observe na zifanyie kazi...

  1. Wee ni Member mpya or maybe niseme this is too new an ID for you to complain.
  2. Nature ya topic yako ni ya Promo tu... Tena promo ya mtu ambae anakwaza almost majority ya members hapa jamvini... Hivo basi tokana na kwamba wee ni mpya hapa yawezekana pia wewe ni Mwita25 (kama ndie nimeshindwa jibu pm yako inagoma sababu ya ban)
  3. Una post 16 hivo ina maana hata wee ni mvivu wa kuchangia acha kulalama (tabia ambayo inaongozwa to date na member mmoja tu - Mwita25)
  4. Weka topic inayoeleweka, chagua forum inayokufaa.... kama hivi hapa panakufaa kabisa na naamini hapa hutakosa wachangiaji, Huwezi peleka thread kam hio ya Mchaga25 = Mwita25 kwenye complaints... then utegemee kua wachangiaji watakua wengi..
  5. Sio lazima kila mtu arushe thread, waweza hata jiunga zilizofunguliwa...

BTW Good morning.... hopefully you are well and good.

Pamoja Saaana

AshaDii.
.
Asante Asha D. Kupitia post yako hii, nime learn something!. Thanks!.
 
Back
Top Bottom